Who was Complaining About Graffiti on Matatus?

And that its a wannabe stunt… sijui michuki rules… akuje hapa nimpashe na nimsomeshe hiyo ujinga yake. Who was he?

Usipopimp matatu yako toa tu Nairobi upeleke ocha…Grafitti hupea mat customers sana

Kulikuwa na ng’ombe inasema sijui its wannabe culture. Watu wengine huongea ndio wasinuke mdomo.
How does graffiti cause chaos. Akuje hapa sasa…

[ATTACH=full]144001[/ATTACH]

Naona subaru ya ngween hapo

:D:D:D:D:D
Wachana na hao. Hiyo ni bangi.

Graffiti sio mbaya. Ile kitu haikuwa inafuatuliwa sana ni vile body inaundwa sanasana hizi ma NQR. noma sana. Matatuculture is part ok kenya

Sasa, si hio u are increasing the drag on your car, leading to an increased fuel consumption ? Engineers in the house, kazi kwenu ?

Hukufika Mwiki jana?

Contraptions pia ni graffiti???

ni utoto, ati unachora 2chainz ama Games of Thrones kwa matatu

staki kuskia

Nilifika lakini sikumaliza dakika 10. Nikapata emergency kidogo. Konyagi yako haijapotea. Iko kwa fridge.

Wewe shughulika na dinner plates. Hapa stori ya mathree huwezi toboa.

mtu anaweza dhani story za mathree ni economics, boss usijidai sana

As a matter of fact ni economics. Mathree inafeed the most people than any other single industry in Kenya. Ndio nakuambia mtu harushangi mdomo kila mahali ndio tu aongee. Hiyo graffiti ndio tofauti ya vitu mingi… lakini huwezi elewa. Stick to your fieod of specialization sweetheart.

nyonya mboro ya sponsor upate ka mia tano ya maziwa ya mtoto

keti paleee

hapo hujamwambia pia…ni sweep aina yake ama?

:D:D:D