Huyu bratha ako na mtoto na baby mama ako na watoto wengine 3 extra. Bratha akaamua kupelekea mtoto wake lunch like the good man he is. Baby mama akasema lazima aletee hao wengine 3. Baby mama anasurvive na food stamps. Bratha akauliza where their daddies @ na baby mama akaruka kichwa na kutupa hio food.
Sasa ukianza kuletea hao wengine food, won’t it create a sense of expectation na utakuwa favorite daddy wa wao wooooooote. Unanunulia kijana iPhone 13 pro max, pia hao wengine wanataka. Unapeleka kijana St Andrews Turi, pia hao wengine wanataka. Unanunulia kijana drip kali, pia hao wengine wanataka.
WAAAH IYO STORY NI NGUMU WALLAI ,BUT KAMA UMEPENDA MTU AKI ,HERI UCHUKUE MAJUKU,AMA AJE WADAU BUT SIRAHISI,ENYEWE KULINGANA VILE MIMI NAJUA NI KUWA MWANAUME HUKUWA NA WIVU NA ATAHERI ALEE DAMU,YAKE BUT YENYE SIYAKEE MANZE HANAFEELINGS,THAT THE WAY IT IS!!!
It’s the expectation it creates. They too will want the nice things you bring your kid. Do you buy four bikes when you just intended to buy one for your kid?
If he dares feed the other kids he will be taken to the cleaners with evidence that he committed at some point, basic things like receipts from McDonalds and children’s testimony at the courts will funga the jamaa till they turn 18. Na mbegu sio zake zote. You need understand the law esp US vs UK.