WELCOME TO TANZANIA TRADE EXHIBITION (SABASABA)

Ndugu zangu KENYA napenda kuwakaribisha katika maonyesho ya kibiashara alimaarufu Saba saba ikiwa ni sehemu ya kuonesha bidhaa mbalimbali, technolojia na huduma mbalimbali mnazotoa pia kuuza huduma na bidhaa kutakuwepo. Maonesho hayo yataanza tarehe 01 July 2018 na yatadumu kwa muda usiopungua wiki mbili.

KARIBUNI SANA SABA SABA

with your shenanigans… will i need a work permit!

hapana unahitaji kuja kwenye maonesho na kuomba nafasi ya kuuza ama kutangaza bidhaa au huduma zenu/zako tu then kuna fee utalipia basi

fee kiasi gani in USD?

fixed amount sifahamu but naweza uliza kwaajili yako then nitakuletea feedback

If I come all the way, and have to pay in USD, she better be pretty

we use Tshs

Maonyesho yenyewe itaandaliwa mji upi?

Dar es salaam

welcome, unaweza nunua ama kuona wafanyabiashara wengine wanafanya nini

Lazima nije mkuu.Ada ya kiingilio ni pesa ngapi.

Sehemu ipi ya Dar?

kiingilio kawaida ni Tshs 3000 ila siku ya kilele yani Tarehe 07/07 itakuwa 4000, karibu tujifunze na tupate fursa mabalimbali

ulishawahi kufika Dar japo maramoja ili iwe rahisi kwangu kukuelekeza?

And an electronic tax register

Niko na vifaranga kadhaa wa kuonyeshana. Jee watachomwa? Na ng’ombe kuwekwa mnadani?

ungepaswa kufanya maandalizi ya kuwaingiza maana kuingiza viumbe hai kunataratibu zake

Maonyesho yanaanza tarehe 28.06.2018 na yatafanyika Dar es salaam kwa wiki 2

Sijawahi fika Dar mkuu.

Changanya kwato Mkuu, huu ndiyo wakati mwenyewe.