WELCOME TO TANZANIA TRADE EXHIBITION (SABASABA)

sawa nkuu si tabu ila ukifika dar na magari ya toka kenya ukishuka ubungo ambayo ni termina kubwa unawezapata amtu wa kukuelekeza hata wa kukufikisha sabasaba waweza pata ka utaona hutaki shida ya kuuliza kwa kumlipa ujira kiasi