Welcome our brothers an sisters from Tanzania

I would like to take this opportunity to welcome our brothers and sisters from Tanzania. I’m sure the issues going on over there will be resolved but in the meantime you can find a home here.

James naona kitunguu inazidi kunukia…bora tu isiwe bingwa amegeuka mbongo

he he…vita vya panzi…

[ATTACH=full]175264[/ATTACH]

wekea hao sub forum…eg.
biashara
michezo
ngongo na uhusiano.
siasa na habaru…

[ATTACH=full]175263[/ATTACH]

gif bandit anatesa kutesa.

admin = phenomenal woman = firigisi ( phylgee)

kitunguu inanukia… Kunuka ni kutepa…

:D:D Wafeeri free kuongea tu swahili ya Tanzania.Mwanifeeri mandugu?

thank you…

Walituimbia vile magufool anaendeleza inchi vizuri kumbe loh! Wamejua hawajui

@admin ashajipaka lube na akachora saba…bora wallet inone :D:D:D
Ama ni kunenepa wadau? Sahii inabidi uconsult kamusi kabla ya kupost na kwa kiswahili :D:D:D

Let them first pay for the Kajiado cows they auctioned.

Naah yandwele sipite tugange yajayo watusafishe mesho na picha za kina snura wakidance chura tuwakaribishe wakiketingi paree…*

Pia sisi hapa tulipumbaizwa na tano terror.

Sasa mbona unasema brothers?sisters je?

Yani jamii forums imefanya vile kenyalost ilifanya… Not by death but dictatorial law. Wakuje we learned the hard way.

all are welcome

yule spear Wa tz alienda wapi.