Welcome our brothers an sisters from Tanzania

Shega

Kama iyo swahili nimetumia kamusi online

Nawakaribisha sana hao watani wa jadi. Magufuli hoyee. Supadip lens bado yafanya kazi?

Kiswahili writing isn’t easy

hawa watu wapewe viti…

@admin you aint fair…mbona huwelcome brothers wetu wa kenyaspot pia na ilienda ivo???

:smiley: Hao ni makauzi hawezi guza…

Wako uku though wanacheza chini mbaya sana

kwanza hao tena sana

Sasa mbona admin amewabagua.

guza=gusa

Thank you, watani mliomchinja mnyama Serengeti.

Kama @ Panyaste ako online sana

Unazungumzia Simba?

[ATTACH=full]175272[/ATTACH]
@The Book @Mdesi @moto ya mbongo …vile mkuu amesema, chai ya babu yaja

Panyaste ni jirani???

Mbwa koko!!

Waketi hukooooooo --------->

Khaaa!

Thank you brother!