mat za kawangware upandwa wapi. hapa toa.
Pale kencom saa tatu
48K, 48C, Odeon. i googled.
na saa zingine
Mat zote za Hurlingham zitafika kawangware…enda pale GPO
Ni namba 46 pale Kencom.
Can’t relate.
wacha!!
****hupandiwa
Ambassadeur hotel
iyo itanidrop around naivas riruta.
i think zinaturnia hapo.
Panda ya 44…ukuje nikudirect
Nenda OTC chukua no. 46, bladdy
poa ntapitia njogu- inni
Mwalimu hapo unajichenga 48k from ngara to kileleshwa and lavington labda from othaya ama yaya afanye connection na gari zingine ,aende to railways hatakosa gari.
Nilisema ni vile google alidema…
@Deorro kuna weza kuwa na shida gani toolbar kwa tablet ni dead siwezi weka green emoji?
Navigating ktalk kwa simu imenishinda siku hizi hata emojis kwangu hakuna.
Hukufuata zile instructions for dummies nilikupatia Siku ile?
:D:D:D…zikimea tunavuna tuVits twingi Sana.