watu wa nairobbery..

tap on that circled area, acts like a switch

[ATTACH=full]166325[/ATTACH]

Poa:D:D:D:D kweli ujinga ni kujifanya mjuaji eti ndio usichekwe ukiuliza…

@pamba na @gashwin naplan kufungua shule ya “Gumbaru Institute of Technology” na malipo yote ni through mpesa. Nawaadvise mlipe registration fees mapema mjishikie space kabla kujae :cool::stuck_out_tongue:

Gumbaru ya kufundisha nini?

Kuvumilia kuwa talker… wa simu.

Kunavigate kijiji among other tech issues

panda basi za NYS

hiyo si need at the moment:D:D:D

Sawa tuu but at least tuma kitu for the effort :p:p

kama uko na seeds,place ya kupanda huwezi kosa,kwanza hii mvua inatosha kufanya uvune macity hoppa kadhaa.

Kama hauna kitu ya maana ya kusema nyamaza