Watanzania kweli tuna akili?

Miwili. Wewe na yule msaidizi wako uliyenichagulia

Ile contract ilishakuwa terminated hubby

Babu hesh’ma yako,.

Na kwako pia mwanakijiji mkimbizi

Hujatangaza ndo maana…

;):wink:

Mi hata sijui kwakweli

huwezi kuwa na akili ukiwa unapiga kelele ugenini…

Ha ha ha ha ha aaaaaa

Wachache ndio wenye akili lkn wengi wao hawana akili, ndio maana bado wakiahidiwa maji na barabara kwenye kampeni wanafurahi na kurukaruka…

Akili wanazo sema ni upumbavu ndiyo unaowasumbua…

Cc: @Mahondaw

kila mtu ana akili(uelewa) wa ufanya jambo na tumetofautiana ktk matumiz

https://t.me/pump_upp - best crypto pumps on telegram
Make 1000% and more within 1 day, join channel @pump_upp !