Utamu wa kiporo aujuae muonjaji:p:p:p:p
Achana na kiporo kwanza mbona simuoni ubavu wako au kaja kivingine?
Yupo ila hajawasha data
:):):)wahamiaji haramu tuko wengiii
Wakimbizi siyo wahamiaji haramu. Tumo Kambini Kenyatalk!
Sawa mkimbizi mwenzangu
Akili ni nini?
Kama mshana alishndwa kujibu swali ili unafikria nini zaidi
Hakushindwa kujibu ila asingeweza kujibu swali alilouliza yeye mwenyewe. Ni kama uko kwenye chumba cha mtihani mwalimu wa masuala ya bahari anakuuliza “Kaa ni nini?” eti na wewe unajibu “Kaa” ina maana tatu!
Kwani mshana aliuliza akili ni nini?
Lazma huyo mtaalam wa masuala ya baharini nimuulize anaposema kaa ana maana gani?
Kwahyo hapo ntajibu kuwa kaa ni nini…
Suala la akili alitakiwa aeleze akili ni nini… Au maana yake akili
Ni kweli ndio mwenyewe!
Hata picha ilikushinda?
Hauvumi lakini umooo
:p:p:p:p:p:p:p:p Hata wewe ulipoongeza neno Babu nilidhani ni mwingine maana Bibi alianza kukutafuta toka siku nyingi ukiwa huonekani
Kuna bwege moja limejiunga na ID ya Asprin. Nadhani lilikuwa linataka kunichukulia michuchu yangu. Nimelitandika mkwala naona limepotea. Ikabidi nije kwa mtindo huu baada ya kufanya maombi mlimani
Aisee
Watu wanazingua sana wanakuja na ID za watu humu halafu wanazitumia vibaya sana, nilipoona umeongeza hilo neno nikawa najiuliza kulikoni maana Bibi wakati anakutafuta alitaja ID yako ya siku zote.
Basi haina ubaya kikubwa umejitofautisha na huyo fake
Hehehehe nadhani naye aliingia chaka. Kama alijibebisha huko PM ishakula kwake mazima
Akijibu unitag tafadhali…
Usijali
Hubby michuchu ni mingapi humu?