Thika Road Accident

THREAD HIJACKED ALERT :warning:

Mtu aambie hii ng’ombe ya magufuli haiwezi enda kwa wenyewe alafu ianze kuleta ujuaji. Hii ktalk si ya mamake :D:D:D

Ucpindishe buana ni kiswahili gani?

hii ni kitu gani? huku kenya tusichana twa class six ndio tunaandika hivi halafu tunaacha tukienda form one.

Ucpindishe=Usipindishe…hapo nimefupisha tu…ila kwa nyie mtu anafaa atumie simple language…akitumia language ya kidedli anawapoteza kabisa…

Ww mamako ana hisa humu…

Haya majamaa mabishi sana.

Kurekebisha ni kwenye mtihani mr. The last time statistics zlifanywa ilisemekana wanafunzi wa kenya wana-perform vizuri kuliko watanzania kwa kiswahili shuleni. Hadi wa leo. Sisi Kiswahili ni cha mtihani bana na hamtuezi. Kule nje hakina kazi. Itabidi mmeelewa. Na mtuachishe maufala. Ebu rudi shimo lenu jamii peleka marekebisho yako huko. We were ok until you showed up, un-invited. gerrarahia meeen shiieeet.

Kuna kiswahili cha kuongea na cha kuandika…huwezi ongea kiswahili ukatumia maneno kama kirai,kishazi,rejesta,isimu etc…nyie mnakariri vi2 vya daftarini…in short mnakariri maisha…kwenye kuongea mpo very shake…muundo wa sentensi zenu ni wa kinouma…poor u…

Bado GDP yetu kubwa zaidi ya yenu. Sharrap. And I can read just fine. si lazima you bold, tabia za jamii toa hapa.

Uwalimu=Ualimu

Mbisha tuliweka MMNN.
MMNN
For all your breaking news. Contact admin @MeriaMata
https://t.me/meriamatanewsnetwork

Ngiteeeeee!

Unapewa elimu ya bure halafu unakuwa mkali. Wewe jamaa ni aje?

Who said i need free education?
dumbass magufoolian!
Duck billed platypus bazi bazook

Pimbi kweli wewe mbwiga.

Who tha fwak is this nigga ? Whats with the bold crap ? Get this punk ass off this thread, damn, whut tha ferk?? Go home Cyka Blyat!

wakenya wana dhambi ya ubaguzi

These Magufuli guys can really derail a thread.