Thika Road Accident

@Meria Mata, hii breaking news imeonekana Shitizen ni gani? Fununu zinasema around 10 cars involved. Lete uhondo kamili ama mbisha.

Nikikua Germany, narudi online napatana na breaking news all over social media eti Thika Road accident.

swahili ya Kenya bhana…

:D.Hio lugha ametumia hapo ni lingo ya kenyatalk.Sio kiswahili cha kenya.

Hiz accident zmerud tena
Jamen

Mnavyojua kujijitetea…kitu kipo wazi…ucpindishe buana…

Whatever.

mkubal kurekebishwa

Wewe hata rusungu huwes jua, hii ya K-Talk ndio utashikanisha kweli?

kumamako

Omwami hapa si shule.

Wataishi kanisha2.

Hapa sio jela

shika njia na urudi JF,tutabonga vile tunaifeel,kama huelewi,tafuta kiti

Kiswahili chenu kibaya…

Ndo nn hiyo…ni tusi au:D:smiley:

Elimu ni popote babarai…au maticha wa Kenyatta wanawaambia elimu ni darasa tu…

Kwan nimekuja na pingu??..

Nionyeshe ww hiyo JF coz mm siioni sasa…mje mfundishwe lugha fasaha. …sio mnajikuta mnaelewa mambo…

hii hataelewa. hana context.

lamba lolo kijana.hapa hatufundishwi kila mtu ni mwalimu in their own capcity:D:D:D:D:D:D:D.Kama degree yako ya uwalimu ni ya umeffi,rudi school of groups wakurudishie pesa ,blal senji type na uketi pale--------->