Tembea Embu: Bonus Edition...

Sun is out beautiful day…

[ATTACH=full]136664[/ATTACH]

[ATTACH=full]136669[/ATTACH]

[ATTACH=full]136667[/ATTACH]

[ATTACH=full]136672[/ATTACH]

Embu pande gani?

Nice…salimiana

Enroute to Kianjokoma…

Nice. Salimiana huko hiyo ni base…

[ATTACH=full]136676[/ATTACH]

[ATTACH=full]136677[/ATTACH]

[ATTACH=full]136680[/ATTACH]

Java blue ni club ya ufala in my honest opinion…

Sawa kaka, salamu kwa @Luther12 pia…

Was there once ambience iko fiti but DJ hiyo siku alikuwa na ufala

Embu ni Kuzuri

Gafana tu ndio wasiwasi…

Market target yake ni wrong.

Kesi kortini.

Nishafika Mungania Tea factory, that place is lovely. But the best is Kionyo next to Mt. Kenya a very beautiful scenery.

Naona umetembea kweli. Ulifika irangi forest?

Hehe hapana, or maybe nilipitia bila kujua. One thing struck me though, the road network there is on point with a lot of sharp corners.

I was up that way via Kirinyaga and Mwea to Meru all the way up to Isiolo and Samburu this year.
What a wonderful country we have.
Na barabara ni nyweeee…

Irangi ingebidi ukanyange rough road kiasi tu.kama bado uko area sema ngwe ukunywe moja baridi

Ngwe! But coz ya weather zote huko ni baridi…especially jioni ikicheck in

Wana chimba hiyo road ikuwe tarmacked hadi runyejes. Irangi huwa fiti sana!