TBT pt2 (Mbisha)

In the gd old days photos were only taken during special occasions, either you would visit the studio in town or call the village photographer. For the likes of @ol monk and others who were born in the digital era this was how it used to be.

  1. cameraman alikua anampanga vizuri sawasawa alafu anahesabu 1, 2, 3 na before aseme 3 mnasmile yenu yote msiharibu mbisha
  2. cameras in those days had films of 12, 24 and 36 exposures so we had to wait for like 4 weeks before we saw our pics
  3. Ulikua unapewa mbisha yako + negative, negative was for if you wanted another exposure of the same pic
  4. the cameraman was very popular in the village, he used to dfhkm any skirt wearer that he fancied, alikua anawadanganya na flash
  5. Once the mbishas were delivered zilikua zawekwa kwa album which was always kept under lock and key, tulikua tunaiona saa hile kuna mgeni peke yake.
  6. ukikatia dame kitu yakwanza ulikua unaitisha ni mbisha na ile siku utapata unajua baaas, mkia pia utapewa

Ongezeni zingine lakini i leave you with this pics from those dem days
[ATTACH=full]11956[/ATTACH]
[ATTACH=full]11957[/ATTACH]
@pamba in 1989 wakati alifika jiji
[ATTACH=full]11958[/ATTACH]
[ATTACH=full]11959[/ATTACH]
guess mnajua huyu mtoi amebebwa hapa ninani
[ATTACH=full]11960[/ATTACH]
ata Jomo alikua ana pose for pics, cant remember the name of his cameraman
[ATTACH=full]11962[/ATTACH]
most popular cameras were Kodak and the films were Fuji
[ATTACH=full]11963[/ATTACH] [ATTACH=full]11964[/ATTACH]

7 Likes

Umesahau hii line ‚Äúnilikua town na picha zenu zimetoka lakini hazijaoshwa‚ÄĚ

11 Likes

na pia msisahau picha kuchomeka

6 Likes

Being an 80’s baby i has a sad from nolstagia.
http://img240.imageshack.us/img240/1407/1255374676201.jpg

2 Likes

Hehehe,umesahau ile special one ya kwenda studio ku pose na simba ama leopard dummy.

4 Likes

Na kina purr sahio wamechoma nywele na hot mabati saa ingine unapata wamejichoma shingo.

8 Likes

[ATTACH=full]11971[/ATTACH]

[ATTACH=full]11976[/ATTACH]

5 Likes

mimi picha ziko kwa album ya mathe nikiwa uhuru park ni mingi sana…boat rides kukula icecream kupanda miti za huko

Hii ndio first love ya @Electronics4u

4 Likes

on point…walikuwaga tu-senge…

1 Like

@Meria Mata tafutia watu camera ilikuwa inaitwa Lubitel box camera uwawekee hapa waone…

1 Like

[ATTACH=full]11984[/ATTACH]

2 Likes

Kuna mmoja aliitwa birthday ya bro akatuenjoy na maflash. Kumbe jamaa hakuwa na film, and to think that he was paid by mom to go and develop them. Alikula hadi keki (I vividly remember his jaws working themselves up and down, savoring the sweetness. He was one of those with prominent jaws akikula ata kakitu small unaona jaws zikiroll all over)
His excuses for several months was eti bado hazijatoka…Mara sijui studio imefungwa…hekaya mob.

I still hate that man with a passion. His mere sight brings up all that bad feeling from my childhood.

5 Likes

…and don’t forget…the more dirtier you were,the clearer the photo would be. So kwetu Ni red soil…mimi Na ma sis tulikuwa tunatokea colour ya thao.

2 Likes

I have one from when i was six in black and white where the kakamasi had dried and left a white strip…

2 Likes

Hahahaha buda umenikumbusha far wallahi.
Zile vikombe za mabati. Hio kikombe ilikua inawekwa mashimo side ya chini. Inajazwa makaa moto, wasichana wanajipaka Arimis, sasa inakua blow dry. Alafu kuimaintain ilikua wanajipaka ovacado kichwa alafu wanafunga na nylon ya black ndio iive overnight.

7 Likes

hii yako ni nyuma sana lakini…mwanzo mwanzo ilikuwa mkembe wa kimbo na mafuta ya nazi…hiyo nyele ikipigwa kitana cha miti ile Afro inatokea pale wacha tu…

4 Likes

Na tusisahau ‚Äėpicha kukatwa‚Äô-you were expecting a group photo just to realise image yako imekatwa kama ulikuwa umesimama mwisho!

3 Likes

Hahaha