TBT pt2 (Mbisha)

it was called “Photo Me”

wangu alikataa kuninunulia Icecream kabisaaaa…no matter how much I begged…I only came to know of its taste in high school…sob sob!

1 Like

[ATTACH=full]12022[/ATTACH]
in Nairobi and Mombasa they were working, zilikua zinatoa picha inne. i think i can safely say this was a selfie machine

2 Likes

Memories are made of this reminds me of Joe kalulu wa kbc sundowners.

hiyo mafuta ilikuwa ina itwa mnyiririko then came the kichanuo inawekwa kwa stove :D:D

1 Like

Na Jua kalulu kwa taifa leo

Juha

1 Like

It was a hot comb…Nywele Ilikuwa inakaa kama steel wool…kama ime stedi…
Msisahau negatives picha ikilost una peleka negative kwa studio utolewe nyingine…

Na mambo ya kuambiwa museme cheers mujamaa akipiga picha

1 Like