Tabia Mbaya Za Watu Wa Nairobi

Hii tabia ya kupeleka watoto rugongo Christmas kisha mnawaacha na sista ama bratha zenyu wako huko bila kuacha pesa za kutosha for them muache. Ati tumewaacha tutawakujia tarehe moja, so they have a week huko after sikukuu. At the very least aacha pesa zao za maintenance na pesa for your brother’s ama sister’s wajivinjari even as they look after your brats, wakuwe na pesa ya nywele, kununua nguo na kununulia your brats vitu ndogondogo ili wajulikane pia wao wako na uwezo, nguo za kulipa mamafua na kadhalika ili wajue nikiachwa na Liam kwina kirathimo hau. Lakini kumuacha hivyo fuaaa juu ulikuja na shopping ikome angalau mpee 20K za kuangalia Liam na hizo zingine ni zake usiulize maswali mingi pia wao wako na mahitaji na hao mahitaji itatimizwa kwa kuangalia Liam

The same way ukifanyia mzazi shopping, hufai kununua chumvi. Aliye na maskio askie

9 Likes

Haikosi wewe ni villager kazi ni kungoja wasee wa nairobi walete shopping

5 Likes

Nii ndi mugicagi kaimana

Hii kitu huudhi bana. Kuna time nimefika pale Ocha Cuzo akanishow twende base tulewe kiasi.

Kufika local manze mbogi ya watu Kumi wanakutegemea uwashikie pombe bana! WATU KUMI!!! Ati walinilea!

Ndio maana zile pubs za maana ocha zilifungwa juu ya hii ufala, unaingia unadaiwa pombe nikama unasimama MP. Afadhali nibebe mizinga zangu I enjoy them at home in peace.

10 Likes

Wewe wacha utiaji, nunulia.mbogi tembo. Just insist they take what they usually drink, hizo tei zao hua 150-200 a bottle. Buy each 2 drinks, then get you 2/3 beers ipeewe all the local and family politics shenanigans.
Alafu tuache kupeleka shopping ya 1500 then ukirudi jiji unaweka vitu za 8 sousand kwa boot… kuku kienyeji mbili, vegetables, maize, beans, fruits , ndizi kama mbili etc :grin:

10 Likes

Hiyo ni mbogi hushinda soko kuseti tu manusu January to December. Ata ukiwashow kuna mti fulani unataka ikatwe hawaezi tokea. Watanipea mandizi zikitoka wapi unless ni za kuibiwa?

Wakwende uko!

8 Likes

Njaro ni kama una doh kiasi una angusha roundy moja, chit chat mdogo then una fake call unajitoa ki sniper

3 Likes

Then what is the essence of kuingia local kama huwezi enjoy drink. Unajitoa ki sniper kuboekea kejani kwenye umetoka.

5 Likes

Rugogo ni wapi, kaka ngimanene.

Hizi mashida siwezi shikanisha. Hata nilienda ocha 2011, hata hawanijui wanajua elder sisters na bros. Mimi nilikuwa second last kwa family ya watu 17. Hio time nilienda walikuwa wanaulizana na huyu ni nani. Ati sasa huwa wananikumbuka napigiwa telephone but sikupata time ya ku interact na watu ya ocha.

3 Likes

Joints ni mingi,ukiingia moja upatane na rendee haukua unatarajia unaruka shimo ingine.

1 Like

Hao wasee huscope local zote in the hopes wa kupata mtu mmoja ama wawili wa kutoanisha.

Kuwahepa kuenda local ingine is just a zero sum game, bado watakupata.

4 Likes

Rugongo ni kanyanyaini where the best tea comes from na itungati cia guku haitaki kuskia lolote kuhusu jabass

3 Likes

Sasa eti jibaba fulani hapo ivo introduced himself ati unajua kwa fulani? Sasa neighbour ya ndugu yake mahali sistake ameolewa, mjomba wake sijui bro yake ni brother ya mbuyu…naaye mbuyu alikuwa na vijana watano…kama ilikuwa unajua wa katikati mimi ndo huyo sasa etc etc… Sikumjua ata.

Long story short the befuddled wag felt entitled to a drink just coz they schooled with my cousin banae😂 ilibidi nimbuyie just so that he can regale me with his mashinani exploits which, to be fair, were kind of engrossing and funny at the same time

6 Likes

Siri hukuwa kuenda a high class establishment yenye village ghasias can’t afford to go to. Personally mimi huenda Panari (Nyahururu) ama Thomson Falls Lodge huko the only people I meet are upper middle class, wazungu tourists, and local politicians and I can sip my lattes and pilsners in peace. Wacha kuenda base za keg kama hutaki kutoanishwa.

5 Likes

Alaa, watu wanaongea about local za muchatha kwao… Unless utaimport klabu to a local region… Wacha niquit ktalk upuzi apa ni mingi

2 Likes

Local ni local na huko anaweza tafuta places classy zenye locals don’t frequent. Mbwa wewe.

1 Like

Gunia hii, ulikua umefungua hio classy local ama unadhani zimejaa kila mucatha. If they even are there. Locals regardless venye imeundwa everyone will enter, nishawai enda kangema burial karibu na kanyenyaine ya @Ngimanene-Na-matharo na locals were like that

Sasa sema vile sijui anga uanze kutravel 4 or 5 km or more kuenda kuosha koo. Shenzi wewe

2 Likes

Hizo mbogi za ocha unatoka na mizinga za blue moon hapa kama 3 unawapelekea local unajitoa. Utaletewa risto baadaye vile walichapana war.

8 Likes

Waah alafu akuna MTU nagging kama mlevi. Guy will pester you to kingdom come umwangushie kakiru depending on how amekupima. Ata kama hjuani u just met. Akuna kitu nakupa Kaka this money is so hard to come by

3 Likes