Kuna butcher ua inauza nyama ya kondoo kweli?
What sort of market should one seek before venturing into sheep farming?
Au ni kuuza tu for breeds?
@PaulTheFarmer @Thirimaii et al., saidia hapa.
Kuna butcher ua inauza nyama ya kondoo kweli?
What sort of market should one seek before venturing into sheep farming?
Au ni kuuza tu for breeds?
@PaulTheFarmer @Thirimaii et al., saidia hapa.
Sijawahii ona kondoo kwa bushery. Unless uende lodwar ama zoomalia
they do sell depending on region.
Nilienda bash Njoro near Nukuru takapewa kondoo. Hiyo nyama zi
matumbo yake worst.
W
Waambie wataka dhenge sana sana wale wanatoa wanyama sehemu za juja wanauza kwa wingi
Mabior kwani unajua kila biashara?
Eeh,isipokuwa ya kuuza mikundu ka hio yako pekee
Ukipata msee anajua kuipika past its horrid smell utaenjoy. Im guessing mulikula tumbukiza ama stew…no bueno
50% of meat you consume as goat is sheep.
True.
Enda kiamako
Pls Elaborate. Mimi isipokua kwa matanga ya njaruos na abaluhya, sijawahi interract na kondoo ikipikwa tena.
Pekee, na hawa wenye hufuga kwa wingi kila pahali kenya… ua wanazipeleka wapi?
I prefer sheep meat to goat…in nyandarua eg ukifungua butchery ya goat utajiuzia mwenyewe
Kuna place nili stay na kulikuwa na butchery hapo nje…, Demand ya mbuzi ilikuwa juu Sana. Huyo butcher alikuwa mlaghai, alikuwa analeta nyama ya kondoo anashonelea Ka mkia ka mbuzi…Kwa hio nyama ya kondoo…
Kuna nyama sijawahi onja…ya kondoo na bata…
Kwa hivyo kondoo ni mbovu?
Japadhola, ulitoka aje Kibera ukakuja Gachie?
Goat and sheep are both good. Depends on the way it is prepared
Hujawai kula nyama ya bata? :D:D:D:D Am speaking from TZ