Sex and nyonyo

Mimi niko na sinda, usiku kamjuniour na mama yake wanapigana live live kwa kitanda, huyu mmoja anataka nyonyo na uyu mwingine hataki kumpatia coz ataki zianguke, na kamjamaa kamebakisha 1 year kawachane na hii stori ya nyonyo…sasa mimi nauliza wazee wa kijiji, niingililie ama nitie zii???

2 Likes

Apatie mtoto haki yake …

Hazianguki juu ya mtoto kunyonya. Anyonyeshe baby
Na zikianguka shida iko??

2 Likes

Huanguka kwa nini?

@ninyedawa unataka kuingilia kati uzinyonye hivi ama?

Sudden

Fluctuations in weight gain and loss during pregnancy n breastfeeding

be in charge, tushinda kama hutu, ukianika hapa utakuwa more confused than you are.
[ATTACH=full]4543[/ATTACH]

2 Likes

I’ve learnt something.

1 Like

Vyenye @Riddim amesema

Wacha zianguke,si ako na bwana (wewe) ama anatafuta bwana mwingine ??

3 Likes

Mtoto apewe haki yake tafadhali, that’s what they were intended for. Otherwise, whether she does it or not gravity MUST be obeyed…eventually.

3 Likes

Ya kush, BTW nimekaa sana kiaC, si unajua??

fight for the child’s right.

Chapa huyo mtu kibare. Some things are non-negotiable hata akienda kushtaki, you have a stronger case because child neglect si kitu ya kubembeleza mtu nayo.

2 Likes

Anaweza acha lakini ujitayarishe kukimbia hosi kila wakati kwa shida hapa na pale, utayarishe pesa za kulipa academy na tuition kwa wingi, halafu later in life uwe na doh za bail, fines, na zakumtembelea kamiti.

1 Like

[ATTACH]4546[/ATTACH]

I was just about to ask whether they know the benefits of breastfeeding an infant.

Lol you just stole my thought…weka elfu moja kupanda…kurudi teremka na gravity

2 Likes

I know …I think ur wife Ninyedawa needs to be talked to , its not clever not breastfeeding coz matiti ita sug

1 Like

They need to know this. Hizi swag za kunyima mtoi milk eti ni kumaintain shape ni nonsensical kabisa. Shape waachie Beyonce.

1 Like