Nakuja kuoa Kenya,nipokeeni

Sio mahubiri haya

Kwani unadhani bilioni ni nini?

Akikujibu hili swali uniite :cool:

Sleeping, and communicating via telekinesis….:smiley:

kwani magirls wote wa Kenya wanapendwa wana magari ?

unajua mwanaume shupavu haogopi mafua kwa sababu ya kumsaka ampendae ?

Mimi natafuta santuri za huyu mwendazake Mwishehe ila sizipati popote. Memories are made of these kweli…

Nenda BASATA huwa wanazifungia hukoo

Nipe directions na bei nitakayoipata humo…

Sifahamu gharama zao ila najua ukijaribu kudublicate ndio unakutana na rungu lao sio watu wema

Cheki mzitoh, nasaka santuri, tangu lini zikawa duplicated? Ama ni zipi hizo wanazoziuza?
Nasaka kitu namna this [ATTACH=full]178880[/ATTACH]
[ATTACH=full]178881[/ATTACH]

Mkuu wewe ni wale wa kizazi cha nyerere nn??

Bilioni ni namba Mara nyingi ya milioni.

Mbuzi mia.

Tusisumbuane priss

Hizi ng’ombe zote za Magufool zinatamani kuoa Wakenya nani atabaki kuoa kunguru zao bongolala?

My friend if you think Tanzania ladies are expensive then Kenya hutoboi. The lady atakukula then wazazi wake wakukule… Saa hiyo Tshs22.50 = Kshs1
Wakenya tunahepea Bongo, nyinyi waBongo mhepee Malawi

Kujia ni wengi na wanapenda foreigners(aliens) na mihela

Unataka aoe Bingwa wa Scrotum?

Nami nahitaji Mke wa Kenya hasa Maeneo ya Pwani maanisha Mwarabu.

Kenya mtaendelea kua Mashemeji zetuu

Am serious

Barter trade ndio mpango mzima. Tuletee yellow yellow za Tz na sisi tukupigie thru pass kwa slay queens wa Kikenya