Asante sana,najiandaa
nataka niitwe Brother in low,pande za Nairobi.
Sisi madem wa kenya hapantambua shairi. Una Gari ngapi, billioni ngapi??
Huku nikama wananyoa fudhi wote…
Musipende sana pesa, pesa inauza utu
Mkubalie kijana wa kwetu anataka kuchanganya damu ![]()
gari na bilioni ya nini ?
ndio nini ?
Huenda itakua inasupport 4G utizamie woldi kapu
Nini?
kabisa,tudumishe ujirani mwema
ha ha ha ha ha,maana dah gari na bilioni wakati hata Toyo tu bado sijanunua
kha
Pesa ni kila kitu bwana… Mapenzi hailiki
hukusema pesa,ulisema bilioni NA gari
pesa Tutapatiana .
kwani kama nakupenda hadi nikupe pesa ?
Pesa maua mama zitanyauka wakati wowote, Penzi laishi milele. Jisogeezee kwa kijana si tupige vigelegele
:D.Utamuonyesha aje unampenda kama au mnunulii gari na kumpa pesa?
yani huku kuna lugha nyingine ngumu kuelewa,inabidi tu ujikaze.
unaweza kukuta NG’OMBE ndo kama sisi tunavyoitana JEMBE
ila sitaki wauliza maana yake.
Are all you Tanzanians this shallow??. Smh.
Haya, lala usije ukapata mafua safarini ya kuja huku kutafuta bibi aisee.
@123tokambio where are you when I need you?? :D:D:D
Mzee unajua kujipa moyo :D:D:D:D:D:D
:D:D:D:D:D
Nenda hubiri kanisani… Pia mili hunyauka.