Rais wa JMT Magufuli amembwaga Waziri wa Mambo ya ndani Mwigulu na kumchagua Kangi Lugola kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.
Mbarawa M kawa waziri wa maji…
TBC1
========
[MEDIA=instagram]BksGbaKH6R4[/MEDIA]
Rais wa JMT Magufuli amembwaga Waziri wa Mambo ya ndani Mwigulu na kumchagua Kangi Lugola kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.
Mbarawa M kawa waziri wa maji…
TBC1
========
[MEDIA=instagram]BksGbaKH6R4[/MEDIA]
Hatari
Duh vyeo vya kuteuliwa hivi havina dhamana
Haaha…kichwa chake anakijua mwenyewe!
Hili sio la kushangaa.
Soon nae ataanza kuwa kama Nape.
[FONT=tahoma]Aise vyeo vya zama hizi havitabiliki muda wowote kinanuka haijalishi kama ni siku ya kazi au mapumziko.[/FONT]
Itakuwa walikuwa na mawazo tofauti na mkulu, au walianza kujijenga ndani ya chama kuelekea mbio za Urais…
Hapo kwa makamba umechapia.
Mambo ya ndani - kangi lugola
naibu waziri mazingira - musa ramadhani sima
naibu waziri kilimo - omary mgumba
maji umwagiliaji - prof makame mbarawa
ujenzi uchukuzi mawasiliano - isack kamwele
Dawa ni kuvikataa tu, pia ni kama vya kitumwa.
Nafurahi sana ninapofanya kazi zangu binafsi Hata kama napata kipato cha kawaida sio kwa stress kama wateuliwa.Hongera Mwigulu labda akili itakurudia kwa sasa
hahahaha had raha… 2020 iyooo
Hahaha, arrogant nchemba has been fixed Thanks God, although this will not clean his dirty and bloody hands
Response yake kwenye ile issue ya barua ya KKKT na TEC ndiyo umemponza. Yule msajili aliagizwa na Bashite kufanye vile na Mwigulu alijua fika lile issue la sakata na viongozi wa dini Bashite alikabidhiwa na Jiwe, pamoja kuwa alijua yale ni maagizo ya Bashite lakini yeye Mwigulu akaamua kumuwajibisha yule msajiri.
Mwigulu kaondolewa kwa style ya Nape kwa kujaribu kuingilia utendaji wa Bashite. Bashite alishaweka wazi hili ili kuwatahadharisha viongozi wengine wote kwamba yeye katika nchi hii anamuogopa Magu tu.
Lakini Mwigulu tul8shawahi kumtahadharisha mapema. Niliwahi kuandika kule JF kwamba kama kuna waziri atafuata kushughulikiwa kwa style ya Nape basi waziri huyo atakua ni Mwigulu Nchemba.
By the way labda atarudishwa Chamani.
Dr.Shoo: “Bado hajazaliwa wa kutishia mamlaka za dini”
Au ishu ya tarime
Nafikiri lengo la Magu ni kuwapiga chini wale wote waliompigia debe toka timu ya JK na sasa atakayefuata ni January, time will tell
Maskafu na mashati ya bendera hajamsaidia kuepuka mtumbuo
Yajayo yanafurahisha.
Mambo yao waachie wenyewe…
Cc: @Mahondaw