Uamke umkute ubavuni kwako, anakujulia hali. Morning glory tamu wewe, unakwenda kazini huku unaikumbuka na unamtumia vijitext nilikuwa ninakucheck tu.
Urudi nyumbani unafahamishwa mtaani kuwa wewe ni mke wa flani. Ukisikia tu like jina ni kama barafu imepenya kooni ndani ya joto la December.
Jikoni unatoa ufundi wako wote, kitungu shurti ukatie kwenye kibao. Na unamsubiri ule nae. Hata arudi saa nane usiku.
Haya Waliooa Kumekucha Huku
Jana Mmeitwa Malaya Leo Mnamwagiwa Sifa Hapa
Hawa Ndio Wanawake Wapo Kama Mawimbi Ya Bahari Tu
Na Mume wa Zamani/uliyemzoea?
slim5
4
Aaah. Aaah. Aaah. Jana tumeitwa? Na leo?
narumk
5
Rudini nyumbani naona JF imefunguliwa cc @Mahondaw, @Smart911, @Nyani Ngabu Halisi etc
Bado haijafunguliwa mkuu,i have just confirmed.Na hata ikifunguliwa hata huku tutabakia
ukishamzoea hawi mtamu tena?
Nimeioa toka jana asubuhi… Ila kinachofanya kazi pekee ni PM… you can only communicate through PM…
Cc: @Mahondaw
narumk
11
Watu wengine wabishi kama mshipa wa Mzee Kinonko, hii ni nini?[ATTACH=full]179746[/ATTACH]
narumk
12
Hivi si unajua PM ndiyo kitu ya maana kwa JF maana ndipo tunawapata akina @Shunie etc
Shunie
13
Ndio nipo huko najibu pm za watu
Sasa hapo imefunguliwa vipi…sema partially tu…we unaweza kureply au kufungua uzi?
Mh pm tu… wana mpango gani hapo??
Ina display hivyo ila huwezi kuanzisha thread wala kufanya reply ya old thread
Ee Mungu mjalie kila msichana mwema aipate hii raha…
Maana hii ni ndoto ya kila msichana
Ndoa ya kidini au kiserikali?