Mume mpya baada ya ndoa anakuwa mtamu asikwambie mtu, jardiniere mwenyewe

Ha

Ha haaaa

Mimi nataka nikujaalie ndoto yako itimie unasemaje?

Mmmh sasa woteeeee tuje PM

Uko sahihi Mkuu kila [SIZE=6]Msichana mwema [/SIZE][SIZE=4]atapata anachostahili.[/SIZE]

[SIZE=4]Hio ndoto kuna wengine wataishia kuiota tu[/SIZE]

Wanataka tusemane kimya kimya…

Haya jitahidini…

Cc: @Mahondaw

Ndoa ya kimila…

Cc: @Mahondaw

Hahahahaha… Kuna wengine si wema love

Hahahahaha… PM zina wenyewe smart

Hivi hii ya kusubiriana mpaka late night hours bado ipo kweli dunia ya leo?nakumbuka miaka ile mama angu alikuwa akifanya hii kitu…

@Shunie wewe mwenyezi mungu anakuona! Kunikataa tangu nyumbani hadi uhamishoni itabidi niombe @Demiss akuroge

Unajua @Mahondaw kila nikijaribu kwa mtu ananiwekea kauzibe mpaka nakata tamaa.

Mkuu mbona sikumbuki kama uliniomba kitu nikakukatalia

Tatizo la wanawake wazuri! Kila mtu anaomba mpaka anasahau nani kamuomba na nani anauma jino akimuona. Hata jana nilikuomba uniruhusu nijongee latika altare ya Bwana ukakausha

Naisubiri hii raha nikiolewa

Subiri akujampie ushizi wa kunuka, utakimbia mwenyewe.
:p:p:p:p:p:p

Manshaallah

Aisee kumbe ndoa mpya inakua hivi?

Ndoa zenyewe za siku hizi ni sawa na kupasha viporo tu hazina radha watu wanakuwa wameshagegedana miaka hata mitano

Sio mapenzi ya kikorea haya?