Mirema

Wakuu mbona mirema imekua modern-day Sodom and Gomorrah.

Madem wanatembea bila ngotha na wezi wametoka kilimani wakaenda huko.

Mi nilirudi ocha nliona huko risasi zilikua zinatembea na zinezanipata.

lanyes+drugs/raha+dirty money same whatsapp.

Hiyo ndio summary

Yule jamaa reason ya kuangushwa ilikua?

Either alikula bibi ya mtu ama pesa za mtu. You don’t get a drive-by shooting for nothing.

Ids na laptops kupatikana kwa gari na kula njugu peupe baada ya kudrop lanye…huyu alikuwa mchele gang

If you can even call it a drive by. That was a simple execution. Hiyo ni pesa za Mse. Usually ka umekulia jamaa bibi, they want you to suffer. Lazima utandikwe kwanza kabla uuliwe. Ama wakuweke kisu ndio ukufe bole bole.

Going by this reply it just goes to show you we have all kind of people in Ktalk uyu labda ni kipkirui ama kipkeino ama kipngeno was cid pale kasa:D:D:D…his deduction is so aligned with the latest stories about the dead mirema guy being on police radar for being the leader of different mchele gangs in the city and also having been arrested severally for mchele associated cases

Nimekuwa nikiina hio story ya mirema napuuza ciz miujijazua hizi kesi za mauji…zote huanga sawa coz they all end up na mtu kufa…nothing new there.

Sasa jana nilijipata mbele ya tv ikabidi ni watch tu.

Enyewe kifo ni ya kila mtu BUT…honestly wacha tu nifanye kazi mzuri safi ya mikono nikule jasho yangu without having to look over my shoulder.

Huyo msee alikufa vibaya.

1 2 shots gari ikaruka kiasi…hio ilikuwa nini? Shock at staring at the barrel of a gun ndio akarealise nisha kulishwa 1 2…halafu jamaa akamwongeza 3 4 as easter bonus.

Hata kama ni tamaa ya pesa…wacha ikae.

Guys controll yourselves. Tamaa ya pesa tuwache.

Wacheni tamaa.

Msiwache widows na fatherless kids juu ya pesa.

That shit was cold.

Consequence of failed judicial system. Corrupt judges and longer time to get justice. More incidents like that one will increase…
Hii mambo ya kuosha mtu pesa halafu una mwambia hakuna mahali utanipeleka ama kufanyia. Hii ndio njia ya kudeal na impunity.

Hii story ilinipita aje…link if available pris

Exactly! This wasn’t a crime of passion. There’s a colleague who was kidnapped, handcuffed, driven to Nairobi peripheries, given thorough beatings at different stops and pepper inserted in his eyes. Guy was admitted for three days. Claimed it was thugs that knew he goes banking daily. Lies. Everybody knew the guy had been repeatedly warned against talking to certain bibi za watu. Now that was a crime of passion…

A police report indicates that six 9mm spent cartridges, four mobile phones and the deceased’s personal effects including nine Identity Cards were recovered at the scene

Jamaa alipatikana na nine ID cards, hapa kuna maswali mengi?

Cc.brother @rexxsimba :smiley:

Ushawahi kuliwa, inakaa una esperience

:D:D:D

My bet is that the cops did the guy in, huyo alikua mwizi sugu

Now Mirema and honda CRVs will be associated with criminals

I agree with you. That guy was a thug and the cops just wanted him out of their space. I listened to the OCPD talk about the incident and he alluded to the criminal character of the victim, IDs, several wallets, foreign currencies, vehicle not registered under his name…etc. Then the get away car’s number place was recorded but no arrest so far. You can tell it was the kwekwe squad cleaning up the streets.

Umeingia kanairo first time like five years ago kijana?

I used to be a regular those sides. Kumejaa wakora.