Mecho karanga for dinner

At the beginning of this video, I was skeptical I would ever want to eat a cow’s eyes, but sasa nikama ntajaribu. The lady in the video has made it look quite delicious vile amepika na kula. Shida ni mtu ananunua wapi mecho za ngombe? Sizionangi butchery

https://www.youtube.com/watch?v=oMlCm-8ozv8

Ushawahi enda zile den za supu, alafu Butcher akakuekea tonsils za mbuzi/kondoo? You will avoid those mathagiro stunts for one year.

:D:D:D

Umeamua kuma liza @Motokubwa kisiasa

Nunua kichwa mzima uchemshe na drum. Alafu utoe macho ukule

Wacha ikae. Nimekula miguu hapo seasons…kuna jamaa hupiga supu anaitwa Daniel. Best while drinking

Si uandike tu na kisapere maraya hii

:D:D

Reason #843287 why i hate youtube…sometimes
After watching the eye grill i found these:eek::eek:

https://www.youtube.com/watch?v=KfsW93y9KH0

https://www.youtube.com/watch?v=-ZH9BINJSf4

https://www.youtube.com/watch?v=kMR25D0RaQ0

Kumbe unakuaga tu pissant na vile unakuaga na mahasira:D:D:D

mtu anaanza kukula spagheti aje? niliambianga bibi asiwai nipikia huo upusssss

:D:D location

:D:D:D uwes wacha ushamba kwani kila time ni ugali, yani kwa kila meal lazima kuwa na sembe hapo kando. Uko juu ya chapo na mboga za kienyeji na hoho lakini kando kuna ugali inakucheki, unaicheki, unaipigia smile inajua baas leo zibakishwi. Kula spagheti kiasi.

Anything cow related @Motokubwa can get you at a fair price.

you mean that ngaii…the one that is between the skin an the meat,right? sweetest thing ever… when you say tonsils it sounds like the glands.:smiley:

:D:D:D,hii thread ni dawa ya kutozeeka watu wanachapana tackles nice aisee.

Hiyo kitu hailiwi

[ATTACH=full]440677[/ATTACH]

in kikuyu there is ngaii…after skinning the senge there is that hard thin layer which is removed before cutting up the pieces…itagwo ngaii.
the glands or tonsils (also ngaii as you call them are the ones that arent eaten…twi hamwe?
@ChifuMbitika kuja hapa kiasi…

So hawa wasee walikua wana kucheki ukikula:D.

I can’t understand. I refuse to can’t. Utaanza kusema pia hua unachemsha mbegu za senge? Au mkia ya kondoo Ile Nono?