Ilikua imewekwa Kati Kati ya mongo, izo manyama karibu na ulimi, sikujua,nathani kwasababu ya njaa zangu sikuangalia, nikauma. Let’s just say hata supu sinywi siku izi
you must understand…i take it that you are not an okuyu…two different things with the same name,one is eaten the other aint…simple.
nyee( testicles) za senge are eaten too and so is kimengemenge/githita(sheep tail)…roasted though,not boiled…you gerrrit?
:D:D:D:D Mbegu ni za Kìhìì we wacha.
:D:D:D…sasa unaruka stori…swali ni je,zinaliwa? na jibu ni ndio,na vipii:D:D
Kuna aina mbili,the nodes and some subcutaneous type of meat