Mauzauza ya Referee World cup 2018

[ATTACH=full]179969[/ATTACH]

picha
1.Iran vs portugal hapo refa alitoa panati kwa portugal
2.Nigeria vs Argentina hapo refa hakutoa penati kwa Nigeria

NINI KINAENDELEA KTK HII WORLD CUP WANDUGU HAWA MAREFA SIJUI KAMA WATAISHI …tetesi tu nigerian witches & wizards meeting

Referee ndo mwamuzi wa mwisho na maamuzi yake yaheshimiwe

Messi In

Hmm!..

Ma-referee ni MEFFI tu.

SAWA NDUGU EBU CHEKI HII
[ATTACH=full]179997[/ATTACH]

Katika ulimwengu huu wa teknolojia, Una iamini hiyo picha?

HAPANA JUST JOKES NDUGU,

Tatizo wakati sisi tunamuona MESSI, FIFA,URUSI,ADIDAS,NIKE, wanaiona pesa. Kumkwamisha na timu yake unakwamisha pesa.
ile ilikuwa penati kuliko ile ya ureno.
Ukimpeleka IWOBI 16 Bora utapunguza mahudulio kwa 50%, ukimpeleka Messi sio tu Utaongeza 50% bali hata huku mtaani Bei ya kiingilio kwenye mabanda Itapanda kutoka 500 hadi 1000.

Binafsi hata penalti waliyopewa Nigeria sikubaliani nayo.

haahahahahah

yule refa ananikumbusha refa mmoja alikuwepo morogoro, anapewa pesa kabla ya match kisha mengine atajua yeye…hakika ni refa aliyewahi kupata vipigo vingi pengine kuliko marefa wote, binafsi nimeshuhudia akivunjwa mkono kisa alishapokea baskeli akapitisha penati moja ya ajabu sana na mpigaji alipokosa akasema irudiwe

kwnye mtoano wanaamin naija wasingeleta msisimko kama argntn! hela kwanza

hahahahahahaha et irudiwe!

Argentina BIBA REF. hawasongi cunaona jezi ya ref. kama wale waupande ule wale hawatoboi
https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/06/243511_08a610d916bc353c0c9a90d693f877e9.png

Not intentional !! it is a slip of ball from own head, not from opponent.

Haa haa haa haa aiseee

Yan marefa wamenichosha Sasa
Hakuna hata utamu wa football
Kwa mwenendo huu najiuliza
FIFA kwann halifuatilii sana hili tatizo

F=Football
I= Is not
F=For
A= Africans

Tatizo wa afrika munajiweka nyuma muda wote, munatafuta tafsiri ya maneno yenu mkiona mumeweza, nasema hvi, hata ile penati waliopewa nigeria siyo halali.

PESA PESA PESA PESA PESA
[ATTACH=full]180066[/ATTACH]