Mauzauza ya Referee World cup 2018

ukisoma coment hapo juu ndipo utaona waafrika kwanini tunaitwa shithole countries in trump’s voice hivi kosa la refaree liko wapi,refa amewapa nigeria penati soft mno angekuwa na nia mbaya si angegoma mbona hamuongelei?
Nigeria ilipata clear chance nyingi ikiwemo hiyo mnayosema alishika ilishindwa yenyewe na wala refaree hana kosa lolote labda kama ni issue ya inferiority complex

Brother mawazo yako yapo shallow sana. FIFA does not work under those lines, There is no single referee who has ever received instruction from FIFA kwamba aende kuionea timu fulani. Ila mkiwa kwenye vibanda umiza mnadanganya hivyo.

Tatizo waafrika tunadharauliana wenyewe kwa wenyewe hivyo hatuwezi nyanyuka

https://www.youtube.com/watch?v=xJTmz9rFFj0

kama mabosi wa fifa nao huwa ni mashabiki kwa nini tusiwaze hivyo.
Nadhani watu wa mabanda umiza nao ni great thinkers kama Sep Blatter

Hii ilirudiwa kama mara sita hivi,plus slow motion. Pesa ina nafasi zaidi kuliko nigeria kwenda 16 bora.

Mitimu yenyewe ya Africa mibovu yote bora tu itolewe

Refarii Matogwa?

Umeongea kikubwa mno,nimekuelewa vzr sana

Na hapo mshajidhalau kuwa
FIFA
Football
Is not
For
Africa, hapo mshajidhalau sana.

soka la afrika bado sana

Malalamiko kibao kama watoto wa kambo…

Tupige soccer jamani Africa bado sana ikibidi FIFA watunyime ata ushiriki tu

Lets Go

Wafrika mnalilia sana, marefa. wazungu sio kama hawa huku Afrika, msiwafananishe na yule refa wa Kenya aliyeondolewa kuchezesha WC sababu ya rushwa.

waafrika wacheni visingizio vya uwanjani …hakuna refari aliyebeba timu

ujinga na kukosa umakini kwa wachezaji wa afrika ndo kumewatoa mapema