Inashangaza sana Mkuu na kuudhi pia kuona Bunge letu limejaa wapumbavu ambao hawajui lolote lile na hawa ndiyo wamepewa kazi ya kutuwakilisha Watanzania Bungeni na kutunga sheria wakati kazi inayomfaa huyu ni kufagia barabara au kusafisha vyoo.
MONDAY, JUNE 25, 2018
Mbunge CUF amwaga chozi, ampiga ‘stop’ Dk Mpango kukanyaga Lindi na Mtwara
Mbunge wa Tandahimba, Katani Ahmadi Katani
Mbunge wa Tandahimba, Katani Ahmadi Katani akiengua kilio baada ya kumaliza kuchangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Kwa ufupi
[email protected]
By Ibrahim Yamola, Mwananchi [email protected]
Dodoma. Mbunge wa Tandahimba (CUF), Ahmad Katani amemwaga chozi bungeni na kumshukia Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kwamba kama Serikali haitatoa asilimia 65 ya fedha za ushuru wa mauzo ya korosho nje, asikanyage mikoa ya Lindi na Mtwara.
Katani ametoa kauli hiyo leo jioni Juni 25, 2018 bungeni mjini Dodoma katika mjadala wa bajeti ya Serikali mwaka 2018/19.
Mbunge huyo amezungumza kwa dakika tano na katika muda wote aliokuwa akizungumza alikuwa akibugujikwa na machozi.
“Fedha za korosho zipo kisheria na wale wanaochangia kinyume cha hapo wakisema ni za mfuko mkuu wanapotosha Watanzania kuonyesha watu wa kusini wanazitaka kwa maendeleo ya kusini,” amesema.
Huku akisisitiza kuwa Korosho inalimwa zaidi Mtwara na Lindi amesema, “hizi fedha tusipozipata Dk Mpango usikanyange Lindi na Mtwara. Hata fedha zilizopo kisheria unazichukua?”
“Wewe (Dk Mpango) ni waziri wa ajabu ambaye hujapata kutokea. CCM mnasema ni chama cha wanyonge, wanyonge hao wa aina gani? Wakulima wanaolima korosho kwa jembe la mkono mnachukua fedha zao huna huruma. Mnapotosha umma wa watanzania, mmekuja bungeni kusimamia watanzania lakini mnashangilia wanavyoonewa na kudhurumiwa. Hawa wabunge wanaotoka majimbo ya Ikulu ni shida sana.”
Kwa maneno haya ni haki yake kububujikwa machozi
Sijuia kama wafisiemu yaliyojaa mjengoni yatasikia
Ya kwangu yanaanzia kwa waliomteua na kumpitisha kwenye kura za maoni
Mtu amekua kwa kula viwa vijeshi na zambarau,atawaza mambo ya maana kweli??
Kama yeye yuko hivi, jiulize wapigakura wake wana hali gani upstairs!!! B
Hakuna, elimu hakuna kabisa
Wote hao waliomteua na kumchagua ni hasara kubwa sana kwa Taifa letu. Mtateua vipi anayestahili kufagia barabara/kusafisha vyoo eti akawe muwakilishi wa Watanzania na pia mtunga sheria Bungeni!?
Halafu tunategemea mamburula kama hawa pale Bungeni walete maendeleo kwa Watanzania.
Shule yake ndio kikwazo. …ni mmoja kati ya wabunge wapuuzi kuwahi kuzaliwa bara la Africa !
Tunahitaji kuwa na Bunge la wasomi na si Bunge la Mamburula. MACCM wanafurahia kuwa na Bunge la Mamburula kwani wanaweza kuwaburuza watakavyo na pia kuwatisha kwamba wakiisema Serikali vibaya Bungeni basi Bunge linaweza kuvunjwa na majina yao kutopitishwa kwenye uchaguzi mwingine.
Wabunge angalau wawe ni waliomaliza A level na kufanya vizuri kwenye masomo yao.
darasa la snia tuaba.hii ipo tanza
Natamani ujumbe kama huu wabunge wanaopitia huku wamuonyeshe Lusinde atambue nje ya Bunge watu wànamuonaje. Pengine vile ccm wanavyo mtumia kule bungeni kutukana wengine huku wakimshangilia kwa upumbavu wake anadhani thamani yake iko juu kumbe huku nje anaonekana ana stahili kufagia Barbara tuu
sifa ya kuwa mbunge kielimu ni std 7 na kimkakati inajulikana
Wabunge wangekuwa wanamuonyesha mijadala nje ya bunge na kuona jinsi anavyochukuliwa akili yake hakika angeona aibu
Ile familia ilimkosea nini Mungu kupata vijana Le Mutuz na Kibajaji
Siyo shule tu, huyu yaelekea alikunywa maji machafu wakati anazaliwa na ubongo wake ulichelewa kupata oxygen, kwa lugha nyepesi ana mtindio wa akili.
inaonekana toka bunge la bajeti lianze alikuwa ajongea chochote na hakuwa na chakuonge.sababu yule ni mzee wa malopolopo.kuliko kutetea maslai ya wanamtera kaonelea bora alopoke tuuili jiwe limuone
[SIZE=5][FONT=times new roman]Tuesday, June 26, 2018[/FONT][/SIZE]
[SIZE=5][FONT=times new roman]Ndugai awaambia wabunge wakiikataa bajeti, Rais atavunja Bunge
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/4631750/highRes/2022584/-/maxw/600/-/rxpfis/-/spika+pic.jpg
Spika wa Bunge, Job Ndugai akimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako alipokuwa akijibu baadhi ya hoja zilizotolewa katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Kwa ufupi
[COLOR=rgb(226, 80, 65)]Spika amewasisitizia wabunge wote kuwapo bungeni saa 11 huku akiwatahadharisha kuwa baadhi yao wakirudishwa majimboni hawarudi
By Ibrahim Yamola, Mwananchi [email protected][/FONT][/SIZE]
[SIZE=5][FONT=times new roman]Dodoma. Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kama wabunge wataipigia kura ya hapana Bajeti ya Serikali ya mwaka 2018/19, Rais atalivunja Bunge.
[COLOR=rgb(226, 80, 65)]Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo asubuhi bungeni Juni 26, 2018 wakati akitoa maelezo ya kile kitakachofanyika leo saa 11 jioni ya kuipitisha bajeti.[/FONT][/SIZE]
[COLOR=rgb(226, 80, 65)][SIZE=5][FONT=times new roman]“Endapo mlio wengi mtaikataa Bajeti ya Serikali, Bunge hili Rais atalivunja haraka,” amesema Spika Ndugai.[/FONT][/SIZE]
[SIZE=5][FONT=times new roman]Baada ya kauli hiyo, minong’ono ya kutoka pande zote za wabunge ilisikika. Spika Ndugai hakuishi hapo, akasema tena:[/FONT][/SIZE]
[SIZE=5][FONT=times new roman][COLOR=rgb(226, 80, 65)]“Na baadhi yenu, mkirudishwa majimboni hamrudi kwa hiyo akili za kuambiwa changanya na zako.”
Amewaomba wabunge wote kuwapo bungeni ifikapo saa 11 jioni huku akisisitiza kwamba mbunge hapigi kura kwa jambo moja, bali ni kwa mfuko wote wa bajeti, kwa hiyo ni vizuri wananchi wakaelewa.
Katika hatua nyingine, Spika Ndugai amesema kuanzia sasa bendi ya muziki ya polisi, (Brass Band) itaingia bungeni kuongoza wimbo wa Taifa kabla na baada ya kikao cha Bunge kuanza.[/FONT][/SIZE]
Wahuni hawa wezi na mafisadi wameshaanza kuwatisha Wabunge kwa kusimamia kile ambacho wanastahili kukisimamia kwa maslahi ya Watanzania.