[FONT=courier new]Ni taarifa ambazo nimezipata kutoka kwa ’ chanzo ’ changu ’ aminika ’ kabisa ( lakini naendelea kuzihakiki zaidi ) kwamba Mmoja wa ’ Mabosi ’ Waandamizi kabisa wa Kampuni ya Clouds Media Group Ruge Mutahaba amepelekwa kwa ’ matibabu ’ zaidi nchini India kwa matatizo ya ’ Figo ’ yanayomsumbua na kwamba hata ’ Ugonjwa ’ wake huu umefanywa ’ Siri ’ kiasi kwamba hata Wafanyakazi wake wengi hawana habari juu ya hili labda waanze kuzisikia / kuzipata hapa ’ Ukimbizini ’ Kenya Talk kwani kumefanyika ’ Usiri ’ mkubwa juu ya ’ Kuugua ’ Kwake huku.
Wenye taarifa zaidi juu ya hili karibuni mtiririke na mserereke nazo ila nimezipata kutoka kwa Mtu wa karibu ( jina kapuni / nalihifadhi )
Comrade tupo huku pamoja. Kiukweli ‘jamaa’ hali yake c njema. Tia maji tia maji.
Kuna ‘Swahiba’ wangu mmoja alimuona juzi kati kwenye ile hospitali ya ‘wanyumbani Bukoba’ anasema mungu amsaidie tu.