Kwanini 'Kuugua' kwa Ruge Mutahaba 'Figo' zake na Kulazwa huko India kumekuwa Siri?

kutoka uchafu mzito ukeni uchafu mzito ukeniuchafu wa brown … zinatoka, jitahidi kila ukimaliza chuchumama kidogo chooni ili zitoke …

Tatizo 1ana roho mbaya

Nakuona camarade @GENTAMYCINE

Aisee tumwombee apone

Niko na picha zake hapa akiwa hospitali,kwa anayehitaji aweke no yake ya whtsap nimtumie

Niko na picha zake hapa akiwa hospitali,kwa anayehitaji aweke no yake ya whtsap nimtumie

hahahahah, daah

Balaaaaaaaa

[FONT=courier new]Hatimaye naona baada ya kunikimbia kwa muda mrefu Kaka yako Mpendwa kule JamiiForums sasa umeamua ’ Kuibukia ’ huku Kenya Talk. Hata hivyo kwa ’ Umafia ’ ambao unafanywa na Wazee wa ’ Kitengo Maalum ’ juu ya hizi ID’s ambapo Wenzetu wengi wa kule JF ID’s zao zimeibiwa nina mashaka kama Wewe ni yule yule Nifah wa JF niliyekuwa namfahamu hivyo basi ngoja nirejee ’ notes ’ zangu za ’ Kimedani ’ nilizofunzwa ’ nikudukue ’ vilivyo wa ujanja na utundu wangu niweze kuthibitisha kama ni Wewe @Nifah Mke wa The Bold au ’ Mwanamume ’ nataka kutangulizwa / kudanganywa / kuingizwa chaka.[/FONT]

Hahaaaaa Popoma mimi dada yako bhana,tulia.
Nimekuona hapa nikacheka ikabidi nisign up kukusalimu kidogo.
Hata hivyo JF ikirudi nami nitarudi,see you there Bruh.

Ulitaka itangazwe imekua harusi?

[FONT=courier new]Mbona umejiwahi? Unaogopa nini? Subiri Kwanza ’ nikudukue ’ ili nijiridhishe kwani tangia TCRA na Mr. Komwe ’ watutende ’ wana JamiiForums na hatimaye kuhamia kwa muda hapa ’ Ukimbizini ’ kunako Kenya Talk nimekuwa sina imani kabisa na Members japo majina yao ni yale yale waliyokuwa yakitumika kule JamiiForums.

Kama kweli Wewe ni Dada yangu @Nifah wa JamiiForums naomba nifanyie mambo haya nikuamini…

  1. Irudidshe ile Avatar yako ya JF
  2. Niwekee hapa Picha ambayo Bwana wako The Bold alikuwa akiitumia kama Avatar yake
  3. Nitajie angalau maneno yangu ’ maarufu ’ Saba ( 7 ) ambayo nilikuwa nikipenda kuyatumia sana kule JF
  4. Naomba unitajie yale Majina yangu matatu ( 3 ) ya Kinywarwanda ambayo nimekuwa nikiyataja mara kwa mara JF
  5. Nitajie ’ Signature ’ yangu ya JF
  6. Nitajie kule JF nilijiunga lini kama kweli unanijua vyema Mimi Kaka yako
  7. Nitajie Mwanamke ambaye nilimpenda kule JF na nikamuanzishia ’ Uzi ’ wake kumuhusu.

Majibu yako kwa haya maswali yangu ya Kimedani na ’ Kimitego ’ zaidi yatanisaidia kujua kama Wewe ni Nifah yule wa JF au ni Nifah ’ asiyejulikana '. Nita ’ log out ’ Saa 3 Kamili na nitarudi tena hapa Saa 4 Kamili baadae hivyo ni matumaini yangu utanijibu au nitayakuta majibu yangu.

Asante.[/FONT]

[FONT=courier new]Your STUPIDITY is APPROVED.[/FONT]

Ugonjwa kwa watu maarufu sijui kwanini huwa unafanywa siri,ila ngoja wakina sie uugue hata ukijitahidi kufanya siri manesi lazima watakuumbua…

Atakuwa karogwa na Diamond tu

Aiseeee:D:D:D:D

Jamani navopenda ruge.hata hajanionja?

[FONT=courier new]’ Mbunye ’ yako inaizidi ya Nandy kwa utamu?[/FONT]

Njoo uone

[FONT=courier new]Nije niione au nije niikanyage na ’ Mkuyenge ’ wangu huu uliotukuka?[/FONT]