Husika na kicha cha mada hapo juu. Ndugu, wadau na members (villagers) wa jamii forums ndani ya kenyatalk tuendelezeni ile thread yetu pendwa ua kule jamiiforums kwa kujuzana habari mbalimbali kuhusu korean movies and korean series mbalimbali za mjini na zile za vijijini (yaani sageuk drama). Stori mbalimbali za waigizaji, zifuatazo ni series 10 ambazo ninazipenda sana
Prince of the legends (jumong)
2.king gwanggaeto, the great conqueror
3.princess ja myung go
4.jingbriok, the momeir of imjin war
5.seoul 1945
6.emperor wang gun
7.six flying dragon
8.king dae joyeong
9.age of warriors
jewel in a palace bonge la drama hili nafikiri ndio ya kwanza kuonyeshwa na ITV ikafuatiwa na Jumong,Kingdom of winds ,Emperor of the Sea ,Slave Hunter