KUOA

Today marks exactly two weeks since niweke Dem kwa nyumba.

But Kuna kitu nmegundua, ukiwa single unaona watu wameoa na kuolewa wako happy, ukishaoa unaona watu wako single wako happy.
Nishachoka na hii pussy wadau alafu nafeel nikama tumeanza kuzoeana vibaya

hehe cunt relate

Tulia hapo,wacha kusumbua

What I’ve realized with married people is most of them will advise single people to get married so that you are all in it together

Good luck!

I desist from somebody occupying my space, their smell, … etc.

I normally wonder,imagine the freedom you had and then letting that go!
Imagine staying by yourself for over 10 years yet you bring someone into your living space until perpetuity.

Umechoka kufuga kunguru hii ndo shida ya kuoa juu watu wameoa mimi i remember sikuplan kuoa nilipatana na kunguru tao nikiwa nimeenda lunch nilimuona at first nikafeel shes the one …

Endeleza hekaya ghaseer.

Leta hekaya upigwe na anti-oneitis committee

Umefuga singo maza?

Ameshamaliza 30k salo

Never

Yaani nafeel Sina ile space nlikua nmezoea…alafu spendi mtu akishikashika simu yangu

Skuizi marrying is for benefits. I wondered why a friend of mine married an ugly looking woman. Kumbe the lady has visa to US and can be accompanied by a spouse to the land of opportunity

Marriage sio easy. Mostly ni kuvumiliana.Kabla nimarike 2015 nilitest test madem kadhaa. Anakam kuishi na mimi for a week or two nikiona tabia ama ushamba sipendi ama nikiona akiamka asubui akifanana na scarecrow nafkuza very fast.
Usikuwe na haraka, kama amekubore mfkuze very fast. Kwanza dem wakuangalia simu na kuchomoa doh kwa wallet yako kama hujui wako same wozzap group.

Baana umesema ukweli, akiamka anakaa mtu tofauti sana

Si you tell her to go pls…this is how you are creating singo mathas and then come hia and post acres about them. Jingaaaaaaaaz. You are not what you think you are. Tell her it is not working. How did you get married?marriage is formal one way or the other… this is co-habiting dude. If you wanna lead your life aping rendes utaumia. I truly hope she is not page.

How old are you guys? Dayuuuum niga dayuuumn.:saitan:You must be trolling else this is sick. Wacha aende uone kama dunia itaisha.

mizery loves company

Mizery aje sasa :D:D:D:D:DSpeaking for myself, life is better than when I was single munching different girls every weekend. Wewe hujawai chapa dem firestrokes halafu ukimwaga ukamwita Jina ya dem mwingine. Afadhali sai siezi mix jina. Dem ni mjamo.

Mi ni msee i love cooking and eating the good stuff.
Hungekosa fruits fillet drumsticks spicy sausages minced meat na ka amarula vegetables salads kachumbari kwa fridge…weh ingia tu kitchen boil rice endelea
Then nikapata mshikaji tuka amua ku cohabit…shida ika anzia hapo…kila saa natoka shughuli ukirudi keja fridge had been swept clean dishes washed pombe ndio hakuwa anaguza.
Nikadhani ni excitement ya new crib…nikavumilia week 1 although nilireduce rations left in the fridge.
Week 2…wembe ni ule ule…dame ana bonya kubonya.
Ai…week 3…weh toka uende siwezi endelea namna hii.
Msichana alikuwa ana ni filisi bana.
Kufuga mtu si mchezo.

Wewe si ndio hukuja hapa kila wiki ukiuliza Malaya?