Karibu late night supper

nice meal…

ndoo ndiyo nini btw?

we unicorn ni wangu kiyana,usitake ni tume kwekwe plus drones kwako saa hii.
chunga sana

I think he meant njoo. Typo yake inapenda ma bucket…si unajua ni mtu wa kitchen

2 Likes

yaani mimi ni teacher,praise the lord.
nitumie hiyo tution fees kwa hii number saa hii

Na mbona ulikuwa unaleta kiherehere sasa?

2 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D

“Ndoo” ina maana sawa na “Njoo” these are different versions of swahili zaitwa lahaja. Njoo is common kwa waswahili wa mombasa and around those regions but as you go down closer to TZ utapata wanasema ndoo.

1 Like

…ooh noted…thanks.

Hivi sasa wewe ni mTZ? Even better for an IDS. Hapa sibanduki!

4 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:eek: you are right yamaanisha njoo but “ndoo” ni kiswahili sanifu ni lahaja (version/dialect) tofauti na tuliyoizoea.

I read somewhere that good cooks are also very good at other important things that require attention to detail…

2 Likes

True. A recent study by University of NSW proved that good cooks are good gardeners too. I got a great garden that needs a big hose to water it. That job would definitely fit @Mkufuu

3 Likes

Wagunya wa mvita pia husema ndoo, lahaja ya Kimvita.

1 Like

You made yourself @Carbon’s enemy he will send you drones and kwekwe as well. :smiley:

:D:D:D:D:D hehe lakini mimi Mkenya tena wa hapa mjini Nairobi. Lakini usibanduke, wewe kwanza nimekuwaza sana tangu nijiunge na hili jukwaa la K-talk. http://www.onlinegooner.com/forum/images/smilies/icon_cheekkiss.gif

1 Like

Shhhhh back to the forest.

2 Likes

Lahaja za kiwahili ni kadhaa kiswahili cha Mombasa ni kimvita pia kama sijakosea, kinatofautiana na kile cha Lamu (Kiamu). Wengine wasema cha mombasa ni Kimombasa wengine Kiunguja. Ila ninachojua ni kwamba kiunguja kimekaribiana na Kiswahili sanifu kuliko lahaja zingine zote. Asante kwa kunijuza.

=“Mkufuu, post: 154552, member: 883”]Lahaja za kiwahili ni kadhaa kiswahili cha Mombasa ni kimvita pia kama sijakosea, kinatofautiana na kile cha Lamu (Kiamu). Wengine wasema cha mombasa ni Kimombasa wengine Kiunguja. Ila ninachojua ni kwamba kiunguja kimekaribiana na Kiswahili sanifu kuliko lahaja zingine zote. Asante kwa kunijuza.
[/QUOTE]

Karibu, kiunguja ndio lahaja iliyo chaguliwa na wamishenari wa kijerumani kama ‘standardized Swahili’ walipokuwa wakitafsiri Bibilia. Walakini lahaja zote zina utamu wake. Kwa kuwa ukisoma historia ya Kiswahili yasema asili yake ni kaskazini wa mwambao wa pwani ya Kenya (north coast).

1 Like

naona ukirudishwa mahali umekuwa kabla chakula kiive

Utakamuliwa hadi kwa mtail na mkufu alafu alete mbisha hapa.

:D:D:D:D:D