Hujawahi kula nyama grilled? haiwezi kuwa na rangi ya roast kwa sababu there is no direct heat. Karibu ujionee ndani imeiva kabisa mpaka inaachana na mfupa yenyewe.
Hapo umenena kama wazee wa kita braza karibu tule breakfast.
Lol umefanya nikacheka yangu yoteā¦karibu breakfast kuna maziwa, ugali ya jana na cashewnuts.
Kwani unataka akupikie unamtetea hivyo?
Be warned @Mkufuu ,this woman leaves quite a sizeable stinker in your loo.
kwani bibi ana bei? Hivi sasa wanawake wanacost shillingi ngapi nione kama ninazo kwa akiba au itabidi niweke ama nichangiwe. hehehe
o_Oo_Oo_O
mimi sili chakula imepikwa na mwanaume unless akuwe certified na kebs.
wanaume wanaweza kupikia kitu uhare mwaka mzima
kwani bibi ni silver bullet, wachaneni jamaa ajienjoy he will take the plunge akitaka
heheheā¦
we usichomee swiry picha namna hiyo despite the fact that that info is in public domain
they come with different price tags,kuna mpaka wa free. uko na ngapi hapo cash nikutumie bibi na mpesa
Huyu akikula hiyo ugali na nyama na kachumbari unamtoa mbio mbio kabla aulize choo iko wapi.
before ageuze nyumba yako into syria(chemical weapons)
she wouldnt,she is the coolest customer i have seen
Tukiwa wadogo dad used to make us roast meat ama fry na ugali time zenye mathe hayuko then heād invite all the kids wenye tulikuwa tunacheza nao in the hood. Iyo ndio time nilijua mwanaume anaeza pika chakula kitamu kids used to ask āmkufuu dadi yuko nyumbani?ā nikisema ndio wanauliza āna mathe?ā kama mathe hayuko na dad yuko wanakuja kucheki nini imepikwa lunch hehe.
@Mathaais if I die without a husband my ovaries will haunt you forever. Wacha kunichomea picha kwa @Mkufuu . I had it all planned out.
@Mathaais na @Carbon nyi watu simnapenda hate speech Lol wish tungekuwa na get-together ya k-talk halafu utaona venye mahater watageuka mafisi. @Unicorn umekaribishwa ndoo tule.
@Mkufuu Iām a good eater and youāre a great cook. A match made in heaven. Ignore the our haters and letās elope where we can enjoy our meals together.
Carbon ndiye alinifunza akiwa Kawambui.
Good one!
![]()
i am also a very good cook,i love meat grilled by the oven. i can cook practically anything to the eaters satisfaction but sio kila siku.
wanawake wakalie their ponds(as unicorn would say) nikachomeke jikoni,siwes