Karibu late night supper

Oya wanakijiji karibuni kwangu leo nimetayarisha Nyama choma (Grilled) zaidi ya kilo moja tena pia kuna sima moto na kachumbari ya avocado. Ndoo angalau nikupe tonge. welcome.

[ATTACH=full]14912[/ATTACH]

4 Likes

Mbona unakata ugali kama mtoto, na hizo nyama zinakaa ni kama zimechomwa na candle, utapata minyoo boss

6 Likes

Kwani hii nyama yako imechomwa kwa stove? Haikai kuiva

2 Likes

Grilled boss…Hii si choma ya moto direct…Imeiva mpaka ndani

aih…siezi kula nyama bila mfupa… ile mfupa uwa na mafuta ingine hapo ndani katikati… inaitwanga aje? iyo kitu? ukinyonya ndani ulambe lambe iyo mafuta soft hapo ndani mu u-feel nikama napea nyama C.J…uuwa tamu 2 saana… hehehehh!! am i a perv?

2 Likes

Eih Na una manjaa aje? Akuna ata ka-glass ya maji apo incase unyongwe na sembe ama uwashwe na pilipili?

1 Like

Hehehe Iyo kibuyu ya “tour de france” (white one ) imejaa maji. Inakuwanga juu ya meza yangu 24/7

1 Like

Si utafute bibi, hii mambo ya mwanaume kutoka kuwatch ball alafu aende home kujipikia haileti shangwe.

2 Likes

Mbona manki kwani wewe ni vegeterian?

Wachana na mahaters eti ugali kukata,that’s a non issue by the way I really doubt kama kuna homestead hawakatakati ugali due to minimize wastage. Nice food though.

2 Likes

Ugali ni kuchuna alafu kufinya finya ,alafu kidole cha gumba kinaweka crater kwa ugali ,mbicha sina.

5 Likes

Umeniweka njaa asubuhi. Inakaa tamu sana

2 Likes

Watu wengine hapa unaezadhani hukula farasi SMH

3 Likes

nimekubali wewe ni manki

1 Like

vile mathichwo amesema…
if you can afford that you can also afford a wife

this guy is always cooking this and that,hata machef huowa

2 Likes

Some people are petty. The guy hasn’t complained about cooking;he enjoys his cooking by the look of it and some are just yapping around about getting married. It’s his life. He’s fine with it. Nyinyi na mabibi zenu achaneni na @Mkufuu

6 Likes

you got it wrong swiry,this guy is the one who is petty.
anaringa na amenyang’anya dem mmoja job hapa.
huyo unapata ni senior bachelor of kindu retirement age

1 Like

Nice meal @Mkufuu. Huku ‘ma-hater’ :slight_smile: ndio wengi naona.

6 Likes

Hapo sasa boss! Karibu ufanye demonstration. Mimi nakata ugali hivi ndio kesho nipate psyke ya kuikula tena. But nakubaliana nawe.