binafsi nilikuwa nazo tatu…na hii ni baada ya kuona dalili za sintofahamu, Wewe ulikuwa nazo ngapi?
3
1
0
We jamaa umekuja huku mzee wa first to reply
Kinachokera huku Kenya wachangiaji wachache…
Nina ID 4 JF…
na hii haipo jf…
This is special for Kenyans… Huku mi nipo tangu mwaka jana. Nashukuru mmekuja kuniunga mkono.
duuh!
jf on air wakuuu
5
mama twende nyumbani
Mi niacheni tu huku kwa kenyatta
mama twende ukasome hata zile uzi pendwa mbona kenyatalk tutakuwepo kuwasalimu tuuu
Watu wenyewe mnarudi kwa kusuasua, huwezi post chochote now. Hlf najua kabisa huko usalama ni zero. Nitakuwa nakuja kuwasabahi…nimepata mbebz huku kenya ngoja nibaki nae. Kila la kheri wasalimie Tz
sawa mama ntakuwa nafuatilia zile mada hot hot ila kenya nimejenga
Nikaazz…
why did u chose down to the strangers with ur real ID…
The one u used…
id 2 ya kike na kiume balaaa yani full kutongoza bebebz
[COLOR=rgb(41, 105, 176)]9
Kanitongoze hebu nasikia pm zimerudi