Jf ulikuwa na ID ngapi? Tuwe wa kweli

Za nini zote hizo…??? ni kukosa kujiamini…!!!

Umefunga pm

Nimekufungulia wewe apo

Nakuja ngoja nijipange na swaga

mi nlikua nazo 4 mbili zikapigwa Ban milele baada ya mods kushtukia ni mm

Hahahahaha… mimi ndrukiii tehteh.

Mimi nilikuwa nayo hii hii ninayoitumia sasa, ambayo pia nimejisajili Mwanahalisi Forums, Bongo Forums na forums zingine… No need of any other ID…

Nilikua nazo 5

!
!
Tatu Mkuu. Moja Ilikuwa Ya Dharura, Moja Ina User Name Hii Na Nyingine Ilikuwa Kwa Ajili Ya Kuanzisha Mada Sensitive Sana

nipooo