Ni kimya tena yenye kushangaza kuona forum ya Tanzania hasa ktk upande wa fb kushndwa kutoa taarifa kamili katika page yao kuhusu kurejea kwao na taarifa zinazoendlea kama page zingne, nauliza je hadi fb page ya jf nayo imezuhiwa kutoa taarifa zozote ni mpaka leseni pia na je nini hatma yao katika kurejea hewani?
Naona wameamua kusitisha kutoa taarifa baada ya kuona kila wanachopost watu hawajadili walichopost bali wanauliza urejeo na hatima yao ni nini?
Bora wakae kimya ili wakija waje moja kwa moja.
[FONT=courier new]Kuna Mtu aliniambia / alinidokeza / alinitonya kuwa huku KT ambako JF ipo kuna ’ Chawa ’ wengi sana wamekimbilia kufanya ’ Kazi Maalum ’ nikawa namkatalia kata kata ila kwa aina hii ya ’ mtiririko ’ wa ’ Kinafiki ’ kama siyo ’ Kisanifu ’ sasa naanza kuamini na kukubaliana na yale niliyoelezwa hapo awali na nikawa nabisha.