Teh teh teh alafu mwishoni anakwambia tuweke siasa kado sababu kichwa kinanigonga.
Kila nikiwaza anaefaa bado, viongozi wenyewe ndio hawa wanahonga…
Nimeendelezea mistari tu
:D:D:D Ndugu inabidi tufanye mpango ukarecord aise.
Hahahah!!!
Teh teh teh tena producer mkali bongo nzima lazima wakae tu.
Mr T. Touch atafaa sana au Marco Chali
Ndiyo hvyo na ukirudi nyuma unaweza kuta ulipo tupo.
Tuandalie producer mkalii.
Duke touchez ndyo anaweza naona hahahaha
Duke touchez ndyo anaweza naona hahahaha
Hahah
Sawa mkuu Yakiwa sawa usishangae na wananchi nao wasiwe sawa kwa uoga.
Hahaha!!
teh teh teh Kamakawa itakua vyema sana aise.
Producer wakali wapo wengi Ndugu kama Mnjwahuki,Duke,palla etc.
Mule mule mkuu
ha ha ha ha ha ha mkuu chawa ndo akina nani?
[FONT=courier new]Team ’ [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Eagle Wing House ’ jirani na zilipokuwa zamani Ofisi za Multi Choice Tanzania. [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Naomba niishie hapa tafadhali.[/FONT]
Ingekua enz za p fank majan,man water
Hapa wala hata usngehitaj Kik ya hamorapa
Haa haa ha
Hahah!! Noma sana mzeiya, vipi lakini?