I've been summoned to Kasarani Police

Elders, please advise what should a person to do when summoned to the police station,hajui ni kwani anasummoniwa na afisa wanakataa kukuambia. Kuna huyu dem anaitwa Anifa tushawai fuck a year ago after kumeet online. A few months later, tukakosana na tukaacha kuongeleshana. Till recently we met online again, not knowing each others identities, but mm nlikuwa namjua tukichat mpaka tukaplan kumeet jana. But sasa ju alinitenda the last time we talked, mm nikaona nilipishe kisasi by kumuita mahali tumeet akuje but I don’t show up.

So yeye na ujanja yake, badala ya kukuja mwenyewe akatuma dem mwingine. I know you’re wondering nilijua aje. Anifa alinitext amefika and asked niko wapi. Only for me to text back and tell her to go home, sijakuja, na siwezi mdinya. She laughed it off, akisema vile bado ako bed na ata hangekuja, ametuma dem mwingine instead. Ofcourse, tukatusiana kwa text na ikaisha hivyo. Leo amenitext as a different person na number different. Sasa yy na ufala yake akaniambia tuchat kwa telegram kumbe ata hajajchange account yake kwa telegram na nilikuwa nimesave hio number.

Nikamburst akasema she is not who I thought she was, Anifa.That her name is Lucy and she is a kamba. Ati aliget hio simu from her son ju ata aliinstall telegram jana. So akaanza kuniambia niende tumeet nimuone ati anastay ICIPE kasarani. It didnt take even 5 minutes na pata simu from another number summoning me to Kasarani Policestation. That there is a complaint against me. I asked who is the complainant and what is the complaint. The caller answered ju ameniuliza kwa uzuri nikuje nikakataa watanitafuta. I’m a bit confused on what action I should take. Elders please advise. Thanks.

Get a lawyer asap. Kasarani has very crooked cops. Kama hawajui mahali unastay, don’t show up. If wanajua, change location.
Showing up might be the biggest mistake of your life. Dame atasema you raped her or sexually assaulted her child yada yada…kabla mambo itatuliwe utakuwa umepoteza mengi.

BOTTOM LINE: Usiende. Alafu wachana na malaya.

[ATTACH=full]477287[/ATTACH]

Thanks elder. This has been very helpful. I will now know what to do

You sound bitter na huyo dem… she must have hurt your ego.

How is this meant to help me. How does it answer my question. Acha kwenda offtopic. Kama huwezi saida si lazma urespond kwa thread.

Ukipost kitu apa thread inawacha kuwa yako na mashida zako tunakusaidia anyway possible…kama mi nilikuwa nataka kukuambia tafuta uyo dame umpeleke apo githurai umbaiye keg alafu umdinye uone kama ata maliza iyo kesi

Shida za lanye, they can screw you up big time. There’s one I found pale CL nikamuenjoy but nkakosa kushow up many years back. Akaanza vitisho ati nimekuwa nikidinya malanye na siwalipi ati nitajua sijui, nikaingiza njeve kidogo but nikamshow ajidinye nikapiga block

Hio bad mind energy and time wasting chatting up a female for revenge divert it to learning a new / furthering your skill set.

Nimeshindwa kusoma umafi @Tom Bayeye Fanya summary

Hii inakaa shakedown elder. Fanya vile @Slimwais amesema. Na hio tabia ya kutusiana kwa text uwache. There are folks who milk that shit complicating your life so you pay them off to leave you alone.

Kama ni dame wa kukunywa keg asimdinye coz wananukanga coomer banae

Are you sure the caller is a cop from kasarani?

Paragraph muhimu

Unajipelekaje kichinjio buana. Those cops huwa na watu wengi wa kuibia, usipoenda hawata-waste time yao wakikutafuta.

Not sure but number on true caller shows it is from someone in Kasarani Police station

SI kutusiana for no reason. There are people who like intimidation and to step on other people. Maybe I shouldn’t have reacted the way I did. But mm si fala niende huko. Ni vile nimepatwa off guard kiasi. Ata mm nimeona ni shake down

What if amechange profile ya true caller ionyeshe yeye ni karau wa kasarani police station?

Inaeza kuwa hivyo pia.

Assumption is the mother of all fuck ups.