In this forum: a depressingly lack of Pro-Wrestling and MMA fans.

Oooh… Makosa ni yangu basi… Lakini haimaanishi ninamuunga mkono.

Wwe na TNA ni za watoto. UFC is the real shit

Loved watching wrestling when the actors were actual athletes Kama Kurt angle,Eddie Guerrero,benoit na lesner in his prime.ama ppv Kama TLC matches za akina edge.christian na Dudley boys na hardy boys.you cant fake those kind of matches.siku hizi ni umeffi tupu

1 Like

I disagree with you on the first part… I agree with you on the second part…

1 Like

Fake ass wrestling kwanza nowadays is crap. I used to be a fan siku za kina mankind, golddust, stone cold, the rock, psycho sid, rakishi etc

COLOMBO , NILIKUWA NYUMA YA LAWLER LAKINI WOODLEY AKAMRUKIA NA NGUMI ZINGINE ZA KUUWA BANAA

HALAFU UFC FIGHTNIGHT MTU WANGU THE PREACHERS DAUGHTER AKAUNDWA KAMA MBWA BANAAA .

nimedownload UFC the ultimate fighter 23 naiwatch leo usiku nikibinja dada ya @kush yule mnono

4 Likes

By “real athletes” I take it that you mean “Took part in a another sport”. If so, do I have good news for you! Alberto Del Rio (WWE) is a former MMA fighter and Bobby Lashley (TNAImpact) still competes in MMA. Brock is still in his prime. Eddie Guerrero did not participate in any other athletic sport except for Pro-wrestling, neither did Chris Benoit, so get your facts straight. Your argument has no basis mate.

Whereas I agree Wrestling ime-decline in quality, the recent changes wame-make ziko promising sana.

i used to love WWE vile ma heavyweight walikuwa wakikutana , Undertaker , kane , brock , KHali , bigshow , Tripple H, rock , stone cold those guyz could not fake it wakikutana picture undertaker vs great khali hapo wanaogopana nini ? but vile walianza kuleta watu wamekonda ati wanapigana niliboeka ama ati kale kamtu kamexico kamamask ati kanapiga undertaker hapo nilijua ni upuss imeanza nikasema the only thing naweza watch ni royal rumble only coz wazito watakutana .

1 Like

Kusema tu ile ukweli, you must be between 20-23, right. Well, jibambe na wreso kijana, time itacome utashangaa ni kitu gani hio ulikuwa unafuatia kwa bidii hivyo. Si ati hatupendi, but time inafikanga and you move on to other things kaa ndondi hivi…

From that section alone nimeona hujui chochote kuhusu Wrestling… Rey Mysterio alipopularize style ya wrestling inaitwa “Lucha Libre” kwa WWE. Lucha Libre is a very respectable Wrestling art, so uwache ku-display ignorance yako hapa.

On the age part, you are mistaken. But nimeona wasee wako 30+ years wenye wanapenda wrestling kuniliko. Na ninapenda boxing sana.

Uncle maze mimi hupenda the preachers daughter sana, kwanza vile ali school Rousey kwa Boxing, yeye huwa wangu, then HeavyWeight napenda Alister Overeem sana namkumbuka wakicheza KK kwanza na cham alikua anaitwa BadalHari, hiyo ngori ilikua true mbaya nataka achukue heavyweight belt huyu msee, ametoka mbali

1 Like

Wrestling ni game ya kifala kwangu sana, na wewe @Unataka kujua ili? umewahi step inside any ring for a fight competition??? jibu hiyo ndo uite villagers posers, kuna watu (mabondia) wamechukua Nairobi zone hapa na ma certs kadhaa tona na hawasumbui,

1 Like

Nope, sijawahi hata kanyaga ring. Na kama kuna mtu amewahi sioni kama opinion yake ime-surpass yangu in any way.

Kiddish scripts

Elimisha watu si kuanza kukashifu watu vitu ambaso hatujui.

Unaanza kusema mma ni nini prominent players ni kina nani ,standings za hao wapiganaji,video weka pia.

Kama wale jamaa wa cylicing kina TBT walifanya ikawa ktalk unofficial sport.

Google, meet @old monk. @old monk, meet Google.

If we all do that why are we in this forum?

If you’re knowledgeable in this MMA thing share it here.

1 Like

Ile wreso najua ni ya Big Daddy,British Bulldog na wengine wa hiyo enzi.

WWE ni Undertaker,3H,yule mhindi wa futi saba,Kane,JC and a few others.

Wreso ya siku hizi sina opinion whatsoever

1 Like