In this forum: a depressingly lack of Pro-Wrestling and MMA fans.

Kwani Kenyatalk haina watu wanapenda Wrestling ama MMA? Ama mnangojanga boxing matches ziwe hyped (e.g Mayweather Vs. Pacquiao) zihappen, then nyinyi wote mwanze kudai eti mnapenda Martial arts?

Ulisa @wong na uache kusumbua

1 Like

Wazi buda.

ni vile tu umeongeza MMA lakini wreso ni UPUS!!!

4 Likes

Why do you think so, if I may ask?

Unataka kujuli nini we makende ya nyoka[ATTACH=full]51356[/ATTACH]

1 Like

Ni vile huku wasee wanaskianga ati Brock alipigana na Hunt some time ago halafu wanajifanya vile wanapenda MMA… Fucking posers… Halafu hawajui any other Pro-Wrestling promotion other than WWE na TNAImpact, na wanaona wanaweza bishana na msee amewatch NJPW tangu akuwe mtoi.

Wreso ukipita 2oyrs achia teenagers

2 Likes

Wrestling, according to a (very insightful) friend of mine once said “Wrestling ni soap opera ya wanaume”. From the storylines, to the conflicts… Except that it is violent…

3 Likes

I only watch Boxing, sina passion for MMA sana possibly ni vile nimeijua nikiwa mkubwa. You know some things you can’t force yourself into just to fit in.

… And I respect that. At least wewe si poser…

1 Like

But I may start doing my research on it, nione if i’ll gain interest on it. The most mi huwatch ni the snippets on instagram of MMA K.Os etc. It’s never too late to learn I guess.

1 Like

I really hope you like it.:smiley:

1 Like

20yrs ama hata 2 yrs… Its the most primitive childish thing, biggest hoax biggest scam waste of airtime programme on tv… Si heri uwatch hata boxing basi… Tsk

1 Like

I don’t remember anyone (Including Vince himself) ever say that WWE is real, so I don’t see the hoax. Kalaumu mamako kwa kukudanganya.

wenye wanasumbuliwa na hormones…

1 Like

You don’t seem to understand… “Wrestling ni soap opera ya wanaume” inamaanisha “Wrestling is to men what Soap Operas are to women”… But looking at it, the statement is quite ambiguous, but that was what I meant.

Ulikua una ngoja akuambie ndio ujue… Dont be thick

Dude… Hata hujui nini unasema. Revise thread uwache kuongea kama msee ako na Split Personality.

nimekuelewa alright. lakini vile @123tokambio amekwambia hapo juu wresto ni ya watu ambao hormone hazijatulia…

2 Likes