Huyu Willis Raburu, mbaba mzima na kitambi kubwa + kiyambis kama ya dame huwa anafanya nn na watoto pale 10 over 10?

[ATTACH=full]189001[/ATTACH]
Nilikuwa na watch documentary alafu ikaisha ikaji auto peleka hapa nlitulia juu ya hio mini skirt ya joey muthengi lakini nika notice kuna lijibaba mzima among kids and he behaves kama mtoto. His name be Willis Raburu. Msee Ana utoto mob na ni lijibaba mkubwa na mandevu zake. Anafa grow up.

Si kwa ubaya but ingekuwa poa huyu msee akutwe na squad mbaya akiwa kejani wamuchunishe sukuma kwa hio kiyambis yake kubwa… Ghasia.

You are savage. Wacha baba Akinyi atafutie watoto unga bana!

He must be wondering also that there is an idiot watching some program targeting kids.Its a tie…

He makes 250k kujibamba na hawa watoto kwa tv . snoop also hangs out with dance 360 teens and has a appearance contract of some thousands when he shows up.

I can see the reflection of your face on that tv screen. Sasa nimejua wewe ni nani!

Tunaona ball saizi msinisumbue

Mancity 4 - 1Huddlesfield

GAY

Joey has hockey stick legs.

His father was a Ferking PC, you hear that?
A PC.
That’s a child of privilege.

That explains a lot…I guess.:rolleyes::rolleyes:

Nenda uitishe iyo kazi ya kuhost show otherwise feelings peleka

Yaani, hauna huruma na io kabati.

I also find that raburu guy very wierd…

PC najua ni Personal Computer, hio yenye unasema ni gani?

educate a brother.

Manze uyo jibaba anachapa hustle yake vile anaipenda. Na akona wife supuu sana kaka braza

akipanua hizo hockey stick legs zake obtuse angle utakataa?

nitaingia huko ndaaaniiii na angle theta !!

Anaunda mullah hivyo aisee.

Kwani ulisomea shule hutumika for presidential debates?
Provincial Commissioner

back in school i would only really learn about the things that interest me, mambo za serilkal ziilikua zina ingia na maskio moja nakutokea na hio ingine.

santi lakini.