Huyu Willis Raburu, mbaba mzima na kitambi kubwa + kiyambis kama ya dame huwa anafanya nn na watoto pale 10 over 10?

ulipitaje social studies ama GHC sje primo?

Hii ni umeffi tu imejaa hapa… Sewage

somehow nilipita brathe usijali.

Being on the show pays his bills, if his weight doesn’t bother him why should it bother you?

Kihii no kihii…no pun intended.

Huyo ata geuka awe kama big pun

Son of a PC way back had all the privilege’s .He’s supposed to be an aerospace engineer ,or a local elon musk kama mbaya maybe a top cardiologist sio hizi vitu za showbiz hizo achi kina jalass kina chipu…juu walianza scratch

No wonder Ulipata 37% in GHC. Did you even sit that paper?

Ananukisha kitunguu

Homophobic humanoid alien!

If it makes him happy, why not?

Babayake alikuwa PC wa Cendro Provence wakati wa Ubako. Jamaa mwili kubwa kama ndovu. Siku moja aliamka na akasema hakuna pombe itauzwa Nyeri district (kabla tupate counties). Nakwambia hata sheria ya Mututho haikuwa imeanza na majamaa walitii sheria ya serikali bila mchezo. Huyo na Ali Korane hawakuwa wanajoke na sheria.

he is supposed to watch cause he is an adult trapped in a child body

Mungiki, una side na hii jaluo ambae used to harass us. Ghasia

Shule subjects zingine ziliniangusha nikamaliza na C+, i didn’t even finish my University course, lakini hio yote haijalishi kwasabu mimi ni birrionea:cool:.
some folks think that passing well in school and getting all these Degrees mean they’ll end up with a well paying job and what not only to realize that a well paying job is almost as difficult to find as a 26y/o, sexy, wife material, virgin, lady and that they probably should’ve ventured into other stuff early on.

Even muthengi ni out of phase ! Anyway we have chronological age and mental age, both can be different.

As long as he’s not breaking the law, he can do whatever pays his bills.
Great people think and discuss ideas, not aimless talk.

She has a tat some where i know…

Uyu wife ya uyu jibaba naeza pita na yeye, kesi baadaye

https://www.youtube.com/watch?v=t3mFFuPhowA

Anakaa yule wa kuchoka haraka, na mimi nani nararua kabisa

https://www.youtube.com/watch?v=e5Md6iswpRQ

I remember senior Raburu.In the Moi era a PC was a mini God, answerable only to MO1. Not even our current governors were anywhere close to those PCs. The likes of Nyachae wielded soo much power and influence. Willis indeed grew up privileged. No wonder his love for hip hop as well.