Habari wanajamii forum,nimepata shida sana mpaka kufika nchi hii,Nimewamisi sana ila nyumbani wamesema soon mambo yatakuwa fresh tutarudi…Asanteni kwa kunikaribisha
Karibu sana “mwanakijiji”
Karibu sana Ndugu yangu Tupo Pamoja Ugenini Kwa watu Huku
karibu
Hii ni site ya wakulima nini maana kila mtu ni villager
lizaboni karibu litapwasi
Namtafuta Hajar wapi maana mpaka huku sijui kama ameniwekea kufuli la shaba
Mkuu Inabidi utafute shamba uanze kilimo haraka
Hahaha Si Vizuri kumuacha mwenzio Rudi ukamshike mkono
Hajar, ashafika huku mapema na sasa anachukua mafunzo ya kupiga wanaume kutoka kwa wanawake wa Kenya.
Hujapotea bado, karibu.
Yaani huku ukimbizini hata wakina Lizaboni wamekimbilia shimoni! Kweli hakuna aliye salama.
Vv
Hahaha Huku wakikuyu watamtoa nduki
Wacha ukabila wako hapa jamaa wa Tandale,bure kabisa.Bora useme wa kenya!
Kumradhi cheaf
Hamna noma,taratibu tu tutaelewana.karibu kenya hakuna matata.
Nashukuru sana Nipo naangaza angaza Ugenini Huku
Wala usi panic,ume fika nyumbani.chukua bakuli bado uji moto ,twendele na nondo bila pressure.
Naam tunaendelea kuwa wastahamilivu
Nalog off
Karibu mkuu jisikie upo kambini