Humu hakuna kitu kama uchochezi kwa hiyo uwe na amani…
Cc: @Mahondaw
0
Change your id to pink
Karibu Kenya
Njoo shamban mkuu huku ni kijijin ni mwendo wa kulima tu
Asante mkuu hakuna kulaza damu
Ebu pata nafasi upitie Kenyan Refugee Act hii ili usilete usumbufu kwenye nchi za watu.
ha ha ha mkuu sitasumbua kabisa
Umepata pa kuweka mizigo?
Jamani namuulizia mke Wangu sijamuona
Wakenya wapo juu hivi hata huku huru kuropoka nauliza tu