Galaxy S24 ultra, sh 176,000

Waah.!

5 Likes

Not too bad, thought it would be more

2 Likes

Thats the lowest trim, s24 plus - 225k, s24 ultra - 276k

2 Likes

I would only pay that amount if it comes with lifetime vpn premium acc, and trusted anti malware/ trojan / virus support.

1 Like

Telephone 176,000 ikona nini ya maana?

Can someone help me understand tafasali.

Kwa sasa I’m using a techno; a budget phone. Spark 7 to be precise. Na bei ni 11k or less. Na sioni shida yeyote.

6 Likes

Hii ni bei ya kajalopy.

1 Like

Hehe,Toyota e91 ama Toyota 100
Cc. @Nguyen234

Ama Nissan B14.

Ama unaekelea ka deposit unashikwa ka Honda fit ka 400k. Angalau kukinyesha unaskia msuri

2 Likes

Dollar ingekua pahali Uhuru alituwacha ya 110 ungekamata na 117,000

2 Likes

Babangu alinunua hii. The phone is out of this world

Mimi naamini Neon Ray ya Made In Kenya. 1Gb/8Gb 3000mAH

3 Likes

good phone no doubt. Sisi team mchina mid range phones tukae wapi? Nowadays I can’t spend more than 30k on a phone. Bora iko 4 Ram na decent memory na gorilla 5 screen niko sorted.

5 Likes

It’s utterly ridiculous to buy such unless wewe ni wash wash guy ama umeiba pesa ya cownty

2 Likes

I agree. Kununua tu simu, that’s a waste of money. Ama heri kushika mbuzi wadogo na ndama kadha na kuku na kuwa mkulima pole pole pale ocha

1 Like

Na ni kitu inapotea, unaacha kwa meza ama kwa gari ama inaibiwa. Hata laptops zangu za job ni zile core i5 za bei nafuu. Kitu inabebwa you should not spend so much money on them.

3 Likes

Ama uwekee mtoi wako hiyo doo kwa junior account ya bank

2 Likes

Kabsaa. Watu Wana waste pesa to look rich instead of investing wakule later. Hizi expensive gadgets zinanunuliwa na madem na wamama

4 Likes

Eish baba yako anafanya nini na simu kama hiiii :wink:

1 Like

Wazee buy such to attract slay queens

1 Like

Tapeli wanaume wako na pesa ya kuburn , there are people with money they don’t even know how to use it , ako na manyumba , account zinamwangika pesa , magari amejaza na bado investment zinaleta cash like nonsense, such ghaseeers would even buy a watch at 1mirrion wacha hivo unacomplain a mere 176k …
But I know your problem, your problem is you have some money but it’s not enough and still unapambana kumake more . Incase utoshe mboga , you won’t complain about mere 176k on some vanity.

7 Likes

No wonder ule mkisii nyang’au @anon2325444 anakukulia bibi

2 Likes