He’s getting a lot of influence from girls way younger than you. You know what I mean here. Paka mzee pia hunywa masigwa
Still sijatoanga 176k kushika nangos. Heri nipatiane mtu ajisaidie.
There are professions kama graphic designer, video editor lazima ununue laptop ya maana. Some cost more than an m BTW.
I also think ukishinda unafikiria kila extra money unapata ni ya kuanza ama kuendelea biz ni upuzi. Hio ni scarcity mentality. Once in a while, you throw money at something buana. It is your money and you deserve to enjoy it. Not all money should be marked for sijui expansion, sijui kuanza biz ingine. Sazingine rusha pesa ipotee buana.
Unaezaje work hard maisha yako yote alafu ukishika mita unarusha kwa biashara bila hata kuchukua junior na kumpeleka kwa toy store na kumshow aseme anataka nini? Two years down the line, possibly yiote imekunywa maji juu ya upus ya Zakayo. Hata hujaenjoy. Sazingine shtua system buana. Hii pesa you are working for it and you get it continuously. Furahisha mwili; ipigie pole. Sio kila saa tu pesa kidogo umepata unaficha. Utakufa uache kila kitu hapa bibi yako amumunye na some stupid 20yr old birrions ziishe within a year or two na wewe ulishinda na simu imeisha ikajaa vumbi juu ya mfuko ilishinda empty buana.
Kuweni real buana. Acheni mchezo hapa!
…hehe, watu wangu Huwa nawepea treatment msuri, lakini simu itahepeshwa. Kwanza umenikunbusha nikona ka project mahali. Na nikimaliza nina plan ya kushika a project car, gari ya 80s niifufue kama brand new.
Acheni kuishi kama those old Kikuyu men wana mashamba pale Nyeri. Jamaa ako 88yrrs na anangoja bei ya shamba iende juu auze apate birrions yet his 64yr old son bado ni maskini, hata hajasomeshwa vizuri, na bado babake mwenye hio shamba pia anaishi kama pauper hawezi hata toa mita asaidie nayo mtoto wake who is even possibly ailing!
Mnaishi aje ni kama maisha kuna pilot alafu the real life experience? Yuck, disgsuting!
…naona bado haujashika investment. Watoto unawapanga mapema. Nina ma Boyz so am hoping nitawajengea keja zao Kila mmoja mapema. Nikona tu plots hapa kule. Mwanaume ni kujipanga
At my age nikose investment aje? I don’t rent, sijakuwa employed na mtu, na nina a number of other investments zinaingiza pesa passively. Lakini my life is not based on kuwa scared about becoming broke. Kwani mimi ni mwanamke! Mimi bora hujaninyang’anya akili yangu siwezi kosa pesa.
My advice: Usijinyime na ushinde na uoga buana. Eat your money when you get the opportunity. Mtu asikuambie ati sijui simu yako ni expensive, sijui gari yako imefanya nini. The thing is know when to eat. Pia usikuwe fala unakula kama jamaa za wash wash. Usirushe pesa kama fala shtuka!
Hapo sawa.
Simu safi sana hii. That price looks low though for the 2024 model. It should be somewhere around 250k.
Ile siku utatumia hii utaona shida zote za hio Tecno. It all depends on what tasks you aim to accomplish with a device though.
Not really, vitu basic tu za simu. Camera…I rarely take pictures, videos Zi, just normal surfing of the net, calls, WhatsApp, Kijiji and messaging. Na pia I have a habit of not carrying my phone around. Ni mzigo
I used to be obsessed with high specs phones then I realized they had zero importance to my field of work. I switched to a good mid range laptop that does everything for me . Sikuhizi natumia feature phone. I have not owned a smartphone for two years now.
Feature phone ni gani hio
Kadudu
Hehe, hizo phones huwa very effective, hazimalizi moto haraka. I have one Incase simu izime niwe napatikana. Alafu I realized smart phone inanipotezea time sana