Fact News: The President of Tanzania handed over the Uhuru Torch to JWT to raise again to Mount Kilimanjaro

“‘sisi Watanzania tunataka kuwasha Mwenge na kuuweka juu ya Mlima Kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu ulete matumaini pale ambapo hakuna matumaini, upendo pale ambapo pana chuki, heshima ambapo pamejaa dharau’” :tanzania: 1959 Mwl J.K Nyerere

Ina muundo wa tochi ya mafuta ya taa ambayo inaashiria uhuru na mwanga. Mwenge wa uhuru ulinyanyuliwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro mnamo Desemba 9, 1961 na shujaa Brigedia Alexander Nyirenda.

Ikiashiria kuangaza nchi na kuvuka mipaka kuleta matumaini palipo kukata tamaa, upendo palipo uadui na heshima palipo chuki. Sababu ya huyu brigedia kunyanyua mwenge huu ni kuonesha fahari ya nchi na pia kuleta matumaini kwa Watanzania wote kwa kutokata tamaa, kupendana, kuheshimiana na kutogombana ikimaanisha kuwa na ushirikiano.

Hii ni moja ya utamaduni wa watanzania.

Mwenge wa Uhuru

Daa! Mambo mazuri hayo yanadumisha utaifa

Neno mwenge Lina maana sawia na ulio tumia katika lugha ya kwetu huko nyumbani, pia Kuna watu wazima Nimeona walitumia kama jina.

Swali moja kaka, mbona umevalia kaptura tu siku zote?

Coat of arms of Tanzania

The coat of arms of Tanzania: Comprises a warrior’s shield which bears a golden portion on the upper part followed underneath by the flag of Tanzania.

The golden portion represents minerals in the United Republic; the red portion underneath the flag symbolises the rich fertile soil of Africa; and the wavy bands represent the land, sea, lakes and coastal lines of the United Republic.

In the golden part of the flag, there appears a burning torch signifying freedom (Uhuru), enlightenment and knowledge; a spear signifying defence of freedom and crossed axe and hoe being tools that the people of Tanzania use in developing the country.

The shield stands upon the representation of Mount Kilimanjaro. Elephant tusks are supported by a man and a woman, with a clove bush at the feet of the man and a cotton bush at the feet of the woman (whose head is covered with a golden scarf) indicating the theme of co-operation.

The United Republic motto below –Uhuru na Umoja– is written in Swahili and means “Freedom and Unity”.

Sijakuelewa ndugu yangu. Nimevalia kaptura wapi? Au unaongelea Profile Picture?

Profile picture

Hizo ni picha tu kama wewe ulichoweka, hazihusiani chochote na uhalisia wa mtu. Just relax

Mwenge wa Uhuru symbol of Nation


Upuzii

1 Like

Hatutaki uchawi

1 Like

Okay. Sisi Tanzania tutaendelea kudumisha utamaduni wetu. Kama nyie hamtaki, shauri yenu
Mwenge wa Uhuru Kwetu ni Nguvu

Oyaa Binti…je unafahamu ni lini Suluhu atakua kwenye hedhi?

1 Like

People who are poor and uncivilized like to speak dirty words.

Your comment gives an interpretation of the way you live

Wanyonyaji wote na wahujumu uchumi Mwenge utawamulika

Binti 255 pole basi…sikujua kama hedhi is a dirty word…your mother, your sister, and all your milayas goes through this cycle once a month…lakini kumbe kingereza wakjiua? Mashallah!! nilidhani wewe ni duanzi!!

1 Like

Your dirty words cannot change the fact that you are poor :joy: :joy: :joy: :joy:

How do you quantify being poor?

1 Like

The words you write here are usually written by poor people who have given up on life.

Civilized people tend to accept learning from others and know the world.

You’ve got your head in the mud, and you don’t want to learn